Ila jufunze next time usimpende mwana mke kwa 100%.....utakufa kabla ya mda akoJuzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA
Salaam.... Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika...www.jamiiforums.com
Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya
Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ya maisha
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu
I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami
Tunapenda tusiko pendwa
Mwanamke asiyekuwa mnyenyekevu piga chini,nakupa ushauri huu niko kwenye ndoa ni mwaka wa 12 sasa.
Usizungumzie kwa ujumla kwa sababu hua hatutongozi pamoja na hatuingii kwenye mahusiano kwa ujumla bali kwa mmojammojaBasi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote
Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
Una hakika akija akakufunulia sketi utashikilia msimamo wako huo huo hata kama kidudu chako kikiwa kimesimama?
Huwez kujizuia kumpenda mtu kwa 100% lakin unachoweza kuji controll ni kuziacha akil zibak kujitegemea.Usiruhusu joint venture ya moyo akil na nafsi kwenye mapenz utaumia.Acaha kila depattment ijitegemee utaishi kwa raha sanaaa..Ila jufunze next time usimpende mwana mke kwa 100%.....utakufa kabla ya mda ako
Katika mambo ambayo huwa sijipi uhakika ni kama hayo unayoyasema ww kuwa "hatakuja kupata mtu wa kumpenda kama nilivyo mpenda mm".Am tired aisee
Huyu hapana
Hua sin Tabia ya kublock but kwa sasa nishablock namba zake saiv nasumbukiwa Facebook na hapo ndo nimegundua ilikua dharau kwa sababu alijua nampenda na siwezi muacha saiv haamini kama nimempotezea anaanza kunitafuta
And am real sure hatajua kupendwa kama nilivyompenda mimi
Ni hasira tu hizo zikipoa mtayamaliza. Vile vile ni sehemu ya kujifunza na kukomaa, kuwa makiniAm tired aisee
Huyu hapana
Hua sin Tabia ya kublock but kwa sasa nishablock namba zake saiv nasumbukiwa Facebook na hapo ndo nimegundua ilikua dharau kwa sababu alijua nampenda na siwezi muacha saiv haamini kama nimempotezea anaanza kunitafuta
And am real sure hatajua kupendwa kama nilivyompenda mimi
Katika mambo ambayo huwa sijipi uhakika ni kama hayo unayoyasema ww kuwa "hatakuja kupata mtu wa kumpenda kama nilivyo mpenda mm".
Achana na hii.maana effect ya hii ni kuwa atakapokua anapeta na penz jipya ww roho itakuuma maana ushajipa hakimiliki kwamba ww ndio unajua kuoenda sana.Wapo watu wanapenda mzee ww unasubir..
Anakupigia simu maana amegundua anapoteza nafasi. Takosa ulivyokuwa unampa.. sasa akili imemruka.Juzi kupitia jukwaa hili niliomba ushauri hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
TAFADHALI NAOMBA USHAURI WAKO NAUMIA
Salaam.... Kwa muda wa takribani miaka minne nimekua ktk mahusiano na mrembo mmoja ambae kwa sasa anasoma chuo kimoja dodoma na mimi nikiwa kanda ya ziwa Tulikutana masomoni tukafahamiana nikampenda tukaanza mahusiano ambayo mwanzoni yalikua mazuri sana yenye ukaribu kwa hisia japokua ilifika...www.jamiiforums.com
Finally nimebreak up na mtu niliempenda saaana ktk maisha yangu ingawa ni ngumu nimeamua iwe hivyo manake naona kama amegundua anapendwa na anafanya makusudi makubwa sana na kuonesha dharau ya ajuabu kutokua na mawasiliano mazuri kwa kuojibu text na kupokea sim,kutoa majibu mabaya
Ingawa leo baada ya kumuambia hivyo amegeuka kua msumbufu anapiga sim kila muda kujua ni kwanini nimemuamua kumuacha na nikamuweka wazi juu ya lifestyle yake ndio chanzo
I don care nimempa nini nimemsaidia nini lkn moyo wangu mimi ni upendo na upendo ndo kila kitu sowezi kuendelea kutesa moyo wangu
I don care acha apite hivi aende zake
Nilimpenda lakini hakua na hisia nami
Tunapenda tusiko pendwa
Basi hapo wanaume ndo mnazidi kupata sababu za kusema kuwa wanawake siyo wa kuwachekea ni wa kuishi nao kikauzu tu eti wakijua unawapenda watakufanya boya sijui nini na nini kumbe hamna lolote
Mnatafuta tu sababu za kutetea maovu yenu hivi na wanawake tungesema kutokana na maovu yenu wanaume tuache kuwatii ingekuwaje? Maana kila jinsia si inakuwa imeamua kukiuka maandiko kutakuwa na wa kumlaumu mwenzie hapo?
Hata kama mume anasaliti mke awe mnyenyekevu tu?