MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa


Hata vibao kidogo angemkandamiza illi akili ziwakae
 
Nashukuru Mkuu! Nimeupokea ushauri wako vyema!
 
Si kweli hawezi kuteseka simu zote... time heals..asiweke ukaribu nae tuu atakua amefaulu.
 
Si kweli hawezi kuteseka siku zote... time heals..asiweke ukaribu nae tuu atakua amefaulu.
 
Jamaa anaonekana bado anampenda huyo mtu.

Bado hajawa na maamuzi.
Pia jamaa inaonekana anaamini katika Mungu na anafuata msingi ya hekima ya Mungu kitu ambacho nimeona imekuwa msaada sana kwake maana bila Mungu na situation kama hizo basi huu Uzi ungekuwa tofauti.

Jamani tusali sana.

Mkuu huyo Dada rudi mfungulie umpe vitu vyake kisha funga chumba chako kisha muombe Mungu akupe hekima na roho ya ustahimilivu uachane naye. Mwanamke ikifika hatua kukupeleka kwenye vyombo vya sheria (Polisi) na ilihali umemfumania live basi jua analo lake moyoni.

Katika hili kuna mawili, either akuwahi kutekeleza nia yake hovu au wewe umuwahi kufanya maamuzi uachane naye.

Endelea kumtegemea Mungu mkuu, wanaume kama wewe wapo wachache.
 
Nashukuru Mkuu! Nimeupokea ushauri wako vyema!
Nashukuru ndugu tulia usifanye pupa usimhukumu sana mazingira ya kuishi mbali mwanamke yeyote inawezakutokea hivo nimefanya utafiti kidogo japo sio wakitaalam naona wanawake wengi ikitokea akajenga mazingira yaukaribu sana namwanaume lolote linawekutokea sinahakika kama nisahihi kila mwanamke akichepuka tumwone malaya hapana sinahakika kwenye uumbaji wao kuna nn ila mahitaji yao kwamwanaume nimengi sana yapo yanayojulikana nayasiyojulikana sina maana umrudie lakini angalia tu kama kunamazingira yakujutia weka mizani yako upime wanaume wanambinu zaajabu sio rahisi sana kumkataa hata ukimwacha huyo kuchepuka kupo toka zamani
 

[Chorus]
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something

[Pre-Chorus]
Some of them want to use you
Some of them want to get used by you
Some of them want to abuse you
Some of them want to be abused

[Chorus]
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something

[Bridge]
Hold your head up
Keep your head up, movin' on
Hold your head up, movin' on
Keep your head up, movin' on
Hold your head up, movin' on
Keep your head up, movin' on
Hold your head up, movin' on
Keep your head up

[Pre-Chorus]
Some of them want to use you
Some of them want to get used by you
Some of them want to abuse you
Some of them want to be abused

[Chorus]
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something
Sweet dreams are made of this
Who am I to disagree?
I've traveled the world and the seven seas
Everybody's lookin' for something
 
Una mpenda bado akikubembeleza hapo unamkubalia kurudiana naye
 
Ukitumia moyo kupenda ndiyo mateso yake haya! acheni huu utopolo
 
Pole sana kiongozi umetumia hekima ya hali ya juu mno mungu akupe faraja kwa hili
 
Dah hii mbaya sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…