MREJESHO: Kinachoendelea Mpaka sasa

Mkuu kiuhalisia una wakat mgumu sana sababu unampenda huyo mwanamke, ulikosea ulipomwondoa bila kumpa mizigo yake, ila hujachelewa ukipata nafas mpe vyake ili usiwe na ukaribu nae, tofaut na hapo utaumia sana. Zidi kumwomba Mungu atakupa wa kufanana na ww
 
Duh pole sana mkuu..Kama umeshachukua ufunguo fanya umeudishie vitu vyake mkuu inauma San Ila u have to let it go na Kama una kamchepuko kengun itasaidia kukusahaulush mapem mkuu ndo maana real mean hatuwagi na dem au mke mmoja mkuu ..# hata ukipat mwingin hakikish unakua na kengine ka akiba
 
Sio ushauri mzuri huu kwa kweli
Mkuu, jamaa anaumia na nina uhakika hapati usingizi since hili sekeseke lilipomkuta. Kama vipi avute muda tu then wayajenge na mzazi mwenzake ili kuirejesha furaha yake. Unadhani kipi bora aendelee kuteseka siku zote au aangalie namna ya kuwa na huyo anayeutesa moyo wake?
 
Should I Be the 1st kumtafuta juu ya hilo,au nimwache mpaka anicheki mwenyewe??
 
Na Nianze Kumtafuta mwenyewe juu ya kutekeleza hilo?
 
Dah,sema ulikosea kidogo kwakuwa ilikuwa nyumba ya kupanga ilibid uchukue kilichochako na vyao uwawekee afu chumba ukabidhi kwa mwenye nacho sasa umeondoka na ufunguo maana yake itakubid urud tena uendeleze mawasiliano na mwenye nyumba,lakin umejitahd hyo hatua ni nzuri sana na uo ndo uanaume
 
Shida Sio Kupiga simu! nawaza hapa hata kama nimeamua nimrudishie vitu vyake maisha yaendelee should i be 1st kumcheki juu ya hili???

Shida Sio Kupiga simu! nawaza hapa hata kama nimeamua nimrudishie vitu vyake maisha yaendelee should i be 1st kumcheki juu ya hili???

Shida Sio Kupiga simu! nawaza hapa hata kama nimeamua nimrudishie vitu vyake maisha yaendelee should i be 1st kumcheki juu ya hili???
Ni jambo jema na la busara zaidi kama ukifanya hivyo as soon as possible mkuu.
 
Bro you will be fine. Level ya busara uliyoionyesha umetuzidi wengi sana.

You will be fine. Mrudishie vitu vyake, achia chumba.
 
Na Nianze Kumtafuta mwenyewe juu ya kutekeleza hilo?

Unajua wewe unadhani kuachana ni kukomoana, hapana siyo hivyo.

Mtafute haraka mzee, akipata mtu wa kumshauri wakabomoa nyumba wakaiba vitu itakuwa mbaya kwako.

Maana nyumba haina mtu kwa sasa, ni rahisi kubomoa tena kwa mtu aliyekuwa anakaa anaijua vizuri.
 
Ndio Ni mimi nilielipia!!
Sasa Kama wewe ndio unalipia uumpe funguo ili iweje? Chukua vitu vyako kwanza then niachie apambane na maisha yake na danga lake.
Unaposema umuachie Mungu unamaanisha Mungu ashuke na kufanya maamuzi ambayo we unapaswa kuyachukua? Unachofikiria kama ni chema ndio Mungu mwenyewe, na Kama unafikiria kibaya jua shetani anachukua nafasi ndani ya moyo wako.
Kama umeamua kumsamehe pamoja na kwamba hajakuomba msamaha zaidi ya kutaka kuongezea maumivu ya kukufungulia case sawa maamuzi ni yako. Ingawa kwamimi naona kitendo hicho hastahili kuendelea na wewe coz keshataka vitu vyake, wanini sasa?!
Kaza moyo konde chukua maamuzi sahihi au uendelee kuumia ukiwa Arusha ye akiwa Dar
 
Jitahidi Sana wewe usifumaniwe, pia jitahidi Sana kutotoka nje hata Kama Kuna sababu Mia.
Kari ya anayetoka nje na asiyetoka akifumania wadhani nani Kati Yao anatumia sana?
 
Hahaha kwahiyo baada ya miezi miwili akamkuta bado yuko na jamaa ndio maumivu yataisha mkuu?
He has to take action right now. Aende Dar, amtafute, achukue vitu vyake arudi zake Arusha amwachie funguo. Utalazimisha kuwa kwenye mahusiano na mtu anayeonesha dalili ya kutokukupenda kwa kujutia kosa alilofanya zaidi tena anaenda polisi kushtaki kupigwa na kugawa vitu? We unadhani demu ana dalili ya kumpenda jamaa kwa hatua alizochukua?!
Ishara ziko wazi kuwa hapendwi, afanye maamuzi sahihi au vinginevyo aendelee kuishi na maumivu
 
Nakubaliana nawe, mapenzi yanauma sana ukigundua mpenzi wako ni unfaithful alafu wewe ni faithful kwake.
Kupunguza stresses za mapenzi no lazima mwanaume uwe na mchepuko ila sharti ucheze kwa step na umakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…