Asante mkuu nashukuru kwa ushauri wakoHongera nilikwambia utashinda maana huyo Eliza alileweshwa mapenzi tu na huyo jamaa yake hadi akili zikamwishia.
Acha ajute liwe fundisho kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuu😂😂😂😂kama hukukata rufaaYaani tungekuwa tuna kesi kama ya Mkuu na Eliza kwa hali hii ningesema mimi ndiyo nina kosa upewe mali zote [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa rufaa nitakata siku ya kustaafu kazi wakati tuna wajukuu.Mfyuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hukukata rufaa
Asante kwanza mkuu,labda akate rufaa ,na bado nitamshinda tu.Putin hongera sana na pole kwa kurudishwa nyuma kiuchumi. Kuwa makini kwani kwenye mahakama kesi inaonekana imeisha ila kwa jinsi mume wa Eliza alivyomfumba macho Eliza moyoni kesi bado nzito.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti wajukuu...mmh😂😂😂Hahahahaaa rufaa nitakata siku ya kustaafu kazi wakati tuna wajukuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo si rufaa bosi bali roho ya dhuluma hutamani kudhuru na hata kuua. Hili ndilo nakutaarifu uwe makini.
Ni kweli ,ila hawezi atakutana na jiwe tu mkuuTatizo si rufaa bosi bali roho ya dhuluma hutamani kudhuru na hata kuua. Hili ndilo nakutaarifu uwe makini.
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu,Ungeelezea namna kesi ilivyoamuriwa na jinsi kila mmoja alivyotoa ushahidi ! Tungejifunza kitu all in all hongera sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bai Lizzy tunakunyang'anya umiliki kissa umeonekana kama mwizi.
Chai dot com
Hongera mkuu... Naomba kazi hapo ofisini kwako basi mkuuWakuu ,leo nina furaha san,
Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza,
Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi,
Hahaaaaaa haaaaaaa,
Usiku mwema kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu ,leo nina furaha san,
Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza,
Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi,
Hahaaaaaa haaaaaaa,
Usiku mwema kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app