Kesi itaanza kunguruma january, - JamiiForumsKama hautojali, basi elezea kwa kifupi kesi ilikuwa inahusu nini! Mana si kila mtu anakufahamu wew na eliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaacha lini tabia ya kufukua makaburi ya watu lakinii ushii...π
Ohhhooooo....[emoji134] [emoji134] [emoji134]Utaacha lini tabia ya kufukua makaburi ya watu lakinii ushii...[emoji28]
Daaahπ€π€π€Ohhhooooo....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ebu nisamehewe bure kabisa mkuu, hapo nilikua namkumbusha mdau ambae hakuwahi kujua mwanzo wa story hadi ikakua kesi...[emoji25] [emoji25]
Akubariki sana Mungu wetu mwenye huruma teleDaaah[emoji847][emoji847][emoji847]
Umesamehewa bila shaka.
Iwe kama ulivyonena,.ππAkubariki sana Mungu wetu mwenye huruma tele
Asante kwa kushukuru chief
Amen....[emoji120]Iwe kama ulivyonena,.[emoji120][emoji120]
Hongera nilikwambia utashinda maana huyo Eliza alileweshwa mapenzi tu na huyo jamaa yake hadi akili zikamwishia.Wakuu ,leo nina furaha san,
Nimeshinda kesi dhidi yangu na Eliza,
Na nitakuwa namiliki kila kitu na amepigwa na faini juu ,maana ameonekana kama ni mwizi,
Hahaaaaaa haaaaaaa,
Usiku mwema kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mother Confessor na-confess hiyo avatar ni taam taam mno [emoji2]Daaah[emoji847][emoji847][emoji847]
Umesamehewa bila shaka.
Confess againπππMother Confessor na-confess hiyo avatar ni taam taam mno [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani tungekuwa tuna kesi kama ya Mkuu na Eliza kwa hali hii ningesema mimi ndiyo nina kosa upewe mali zote [emoji2] [emoji2]Confess again[emoji2][emoji2][emoji2]