hosh kosh JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 748 Reaction score 572 Mar 15, 2017 #21 wanawake bhn cjui watu wadzain gan huwa hawajifunzi tokakna na makosa..jifunzen asee
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,802 Mar 15, 2017 #22 Unajishaua buree unampenda basi tu unataka kujiliwaza
Mhdiwani JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 650 Reaction score 712 Mar 15, 2017 Thread starter #23 Nilijihami kwasababu lolote lingetokea yapo mambo mengi humu yamewakuta wadau kwa staili hio mtu anaweza kukutengenezea tukio la ajabu kwaio nilienda na kasi ya mchezo
Nilijihami kwasababu lolote lingetokea yapo mambo mengi humu yamewakuta wadau kwa staili hio mtu anaweza kukutengenezea tukio la ajabu kwaio nilienda na kasi ya mchezo