Mrejesho; Hazina ya mjerumani

Mara umeshuhudua Mara umesimuliwa sasa tuchukue lipi?

Ila umesimulia itabakia kuwa simulizi tu
Na kama umeshuhudia basi naamini kabisa Waafrika tuna akili ndogo, unaenda kuangalia jambo LA ajabu kama hilo unashindwa hata kubeba camera tu ili uchukue picha kwa ajili ya kuhifadhi historia kweli?
 
 
sasa hizo bunduli ndizo zimethibitisha kuhusu habari ya mali za mjerumani au
 
Weka picha tuamini, isijekuwa na wewe ni borntown.
 
Tena dunia hii ya sasa ,habari bila picha
 
Hakuna kitu kama hicho! Ni hadithi za mapokeo. Huoni ajabu tangu tumepata Uhuru eti hizo bunduki zipo bado hapo na zinachungulia tundu? Tz hii watu wanatafuta hela bwana usingezikuta kama chini pangekuwa na kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…