Mrejesho; Hazina ya mjerumani

Mrejesho; Hazina ya mjerumani

Mara umeshuhudua Mara umesimuliwa sasa tuchukue lipi?

Ila umesimulia itabakia kuwa simulizi tu
Na kama umeshuhudia basi naamini kabisa Waafrika tuna akili ndogo, unaenda kuangalia jambo LA ajabu kama hilo unashindwa hata kubeba camera tu ili uchukue picha kwa ajili ya kuhifadhi historia kweli?
 
Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili swala nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa mara ya kwanza mkoani tabora wilaya ya sikonge sehemu inayoitwa masiki, kuna mzee mmoja nilikutana nae akawa anasimulia habari hizo kuhusu sehemu ambapo kumewekwa bunduki tatu ambazo zimefungwa kwenye nyaya huku zinaning'inia zikichungulia tundu la kuingilia ndani ya pango, na juu ya pango upande wa kuingilia nje kumeandika 1914.
Sehemu yenyewe ni Tabora wilaya ya Sikonge sehemu inaitwa Masiki.

Nimefika na nimeona hayo![/QUOTE

Hizi ni habari za kufikirika tu na hazina ukweli wowote. wengi wamefilisika kutokana na hii ishu. Ukiingia jiandae kuwalipa watu wa kuchimba, waganga wa kutoa mashetani kwenye "hazina". Na ki ukweli hakuna aliyewahi kufanikiwa. rejea ile story ya rupia ya mwaka .... eti ukiipata we ni milionea. Poor tanzanian nawaonea huruma wenye mawazo ya aina hii.
 
Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili swala nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa mara ya kwanza mkoani tabora wilaya ya sikonge sehemu inayoitwa masiki, kuna mzee mmoja nilikutana nae akawa anasimulia habari hizo kuhusu sehemu ambapo kumewekwa bunduki tatu ambazo zimefungwa kwenye nyaya huku zinaning'inia zikichungulia tundu la kuingilia ndani ya pango, na juu ya pango upande wa kuingilia nje kumeandika 1914.
Sehemu yenyewe ni Tabora wilaya ya Sikonge sehemu inaitwa Masiki.

Nimefika na nimeona hayo!
sasa hizo bunduli ndizo zimethibitisha kuhusu habari ya mali za mjerumani au
 
Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili swala nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa mara ya kwanza mkoani tabora wilaya ya sikonge sehemu inayoitwa masiki, kuna mzee mmoja nilikutana nae akawa anasimulia habari hizo kuhusu sehemu ambapo kumewekwa bunduki tatu ambazo zimefungwa kwenye nyaya huku zinaning'inia zikichungulia tundu la kuingilia ndani ya pango, na juu ya pango upande wa kuingilia nje kumeandika 1914.
Sehemu yenyewe ni Tabora wilaya ya Sikonge sehemu inaitwa Masiki.

Nimefika na nimeona hayo!
Weka picha tuamini, isijekuwa na wewe ni borntown.
 
Mara umeshuhudua Mara umesimuliwa sasa tuchukue lipi?

Ila umesimulia itabakia kuwa simulizi tu
Na kama umeshuhudia basi naamini kabisa Waafrika tuna akili ndogo, unaenda kuangalia jambo LA ajabu kama hilo unashindwa hata kubeba camera tu ili uchukue picha kwa ajili ya kuhifadhi historia kweli?
Tena dunia hii ya sasa ,habari bila picha
 
Hakuna kitu kama hicho! Ni hadithi za mapokeo. Huoni ajabu tangu tumepata Uhuru eti hizo bunduki zipo bado hapo na zinachungulia tundu? Tz hii watu wanatafuta hela bwana usingezikuta kama chini pangekuwa na kitu.
 
Back
Top Bottom