jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 640
hiyo sehemu uliyokulia niwapi huko mkuu""!!Zipo sana kwenye eneo nililokulia kuna sehemu hadi leo watu wanaogopa kufukua na kuna mlima mmoja upo kwenye Manispaa moja hivi hapa Nchini.
Kanda ya Kati ila Mlima wenye kusemekana una Vito wenyewe upo Kanda ya Ziwa.hiyo sehemu uliyokulia niwapi huko mkuu""!!
Kakwambia nani weeeInamaana serekale ya jiwe haina habari juu mali hizo za mjerumani!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mahali mzingo ulipo nije na washkaji wa kijerumani tukapige hela
Mkuu tupe malokesheni na sisi twendene mana nipo hapa hapa
Upo tabora mkuu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama utaweza we nicheki tu nitakupeleka...lakini huko hakuna njia ya gari ni pikpik na baskel tu, kama uwezo wa pikpik huna itabid twende na baskelSema mahali mzingo ulipo nije na washkaji wa kijerumani tukapige hela
Vipi tutachukue mzigo au?
Kama unauwezo na utaalamu huo sema tu mi nitakupeleka huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ?Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili swala nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa mara ya kwanza mkoani tabora wilaya ya sikonge sehemu inayoitwa masiki, kuna mzee mmoja nilikutana nae akawa anasimulia habari hizo kuhusu sehemu ambapo kumewekwa bunduki tatu ambazo zimefungwa kwenye nyaya huku zinaning'inia zikichungulia tundu la kuingilia ndani ya pango, na juu ya pango upande wa kuingilia nje kumeandika 1914.
Sehemu yenyewe ni Tabora wilaya ya Sikonge sehemu inaitwa Masiki.
Nimefika na nimeona hayo!
kama utaweza we nicheki tu nitakupeleka...lakini huko hakuna njia ya gari ni pikpik na baskel tu, kama uwezo wa pikpik huna itabid twende na baskel
Hapo Tanzania utaambulia kumkuta jiwe mirembenangoja hazina ya mtanzania