Mrejesho; Hazina ya mjerumani

Mrejesho; Hazina ya mjerumani

jitwangabalogi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
480
Reaction score
638
Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili swala nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa mara ya kwanza mkoani tabora wilaya ya sikonge sehemu inayoitwa masiki, kuna mzee mmoja nilikutana nae akawa anasimulia habari hizo kuhusu sehemu ambapo kumewekwa bunduki tatu ambazo zimefungwa kwenye nyaya huku zinaning'inia zikichungulia tundu la kuingilia ndani ya pango, na juu ya pango upande wa kuingilia nje kumeandika 1914.
Sehemu yenyewe ni Tabora wilaya ya Sikonge sehemu inaitwa Masiki.

Nimefika na nimeona hayo!
 
Zipo sana kwenye eneo nililokulia kuna sehemu hadi leo watu wanaogopa kufukua na kuna mlima mmoja upo kwenye Manispaa moja hivi hapa Nchini.
 
hiyo sehemu uliyokulia niwapi huko mkuu""!!
 
Dah habari hz haki ya nani ukizifuatilia kufilisika nje nje,yaani mi nikizisikia naruka chap mbali kabisa nikikumbuka nilivyoingia migharama ya kishenzi kusafirisha watu kwenda Mombasa kuuza sh 1 ***** sirudii tena upumbavu km huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema mahali mzingo ulipo nije na washkaji wa kijerumani tukapige hela
kama utaweza we nicheki tu nitakupeleka...lakini huko hakuna njia ya gari ni pikpik na baskel tu, kama uwezo wa pikpik huna itabid twende na baskel
 
Kwa mda mrefu nilikuwa nasikia habari za hazina ya mjerumani lakini mara nyingi nimekuwa mgumu wa kuamini habari hizo kwa kuona ni moja ya mradi wa wapiga wa mjini a.k.a borntown` lakini hili swala nimeshuhudia kwa macho yangu na kwa mara ya kwanza mkoani tabora wilaya ya sikonge sehemu inayoitwa masiki, kuna mzee mmoja nilikutana nae akawa anasimulia habari hizo kuhusu sehemu ambapo kumewekwa bunduki tatu ambazo zimefungwa kwenye nyaya huku zinaning'inia zikichungulia tundu la kuingilia ndani ya pango, na juu ya pango upande wa kuingilia nje kumeandika 1914.
Sehemu yenyewe ni Tabora wilaya ya Sikonge sehemu inaitwa Masiki.

Nimefika na nimeona hayo!
Kweli ?
 
Naiona dalili ya mtu kupigwa pesa

Back
Top Bottom