Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
Kumbuka ni zaidi ya mwezi sasa.Itakuwa bado wanasoma game linaendaje
WelcomeInteresting...
Watuambiebado wanahesabu mapesa...
Karibu..unawashwawashwa!
.pilipili ya shamba yakuwashia nini?
WenzioEndelea kusubiri mrejesho wenzio wako wanaagiza magari, trade zinaendelea kama kawa...
Kama forever living teh teh tehEndelea kusubiri mrejesho wenzio wako wanaagiza magari, trade zinaendelea kama kawa...
Mimi ndo nimemaliza mafunzo Arusha sijaanza kutrade nataka nipate mawazo kwanzaMbona wewe hujaandika mrejesho wako au!? 🙄
Mkuu usifananishe na ForeverKama forever living teh teh teh
Ndio ukweli wenyewe!Mkuu usifananishe na Forever