Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 584
Baada ya posti yangu juzi kuhusu BARABARA hii, hatimaye Jana imekwanguliwa na kusawazishwa Yale makorongo.
Heko kwa wateule wa Rais wetu mpendwa.
Sasa ..
Mh Rais wetu mpendwa ikikupendeza kipande hicho Cha BARABARA kijengwe kwa kiwango Cha Moramu
Heko kwa wateule wa Rais wetu mpendwa.
Sasa ..
Mh Rais wetu mpendwa ikikupendeza kipande hicho Cha BARABARA kijengwe kwa kiwango Cha Moramu