MREJESHO BAADAYA KUACHANA MCHUMBA

Esayi

JF-Expert Member
Dec 3, 2017
355
146
Sasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali

Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa

Na sasa jamani maombi yenu na ushauri wenu umenifanikisha kuoa bint kigoli kabisa wengi walinambia nitulie nitapata tena kigoli kweli ni miezi kadhaa sasa nafurahi ndoa na uchumba wetu hatukuwah kukosana hata kidogo kama ilivyokuwa kwa wa zaman

Ahsanten sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda gani umekuwa pamoja???

It's weird kuwa na mahusiano (yoyote yale hata urafiki) kwa muda mrefu alafu msikorofishane hata kidogo. That only means (sorry to say this but....)you are both pretending. Yani mnaishi kibongo-movie zaidi.
 
Sasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali

Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa

Na sasa jamani maombi yenu na ushauri wenu umenifanikisha kuoa bint kigoli kabisa wengi walinambia nitulie nitapata tena kigoli kweli ni miezi kadhaa sasa nafurahi ndoa na uchumba wetu hatukuwah kukosana hata kidogo kama ilivyokuwa kwa wa zaman

Ahsanten sana

Sent using Jamii Forums mobile app
basi sawa ukitaka kuachana na huyo uje tena humu tukupe ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kosa kubwa sana kutokosana na mpenzi wako maana nyie sio malaika na wala siyo lazma mkosane ila msijifiche kwe kichaka cha kutokosana kua ndo mnapendana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
Meme%20Creator_1546358736669.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ni Mwaka umepita baada ya kuamua kuachana na Mchumba niliye mtolea mahali

Nilileta uzi huu mkanishauri vizuri sana wana JF, nilikaa mda kidogo kwakuwa nilikuwa nahitaji kuoa

Na sasa jamani maombi yenu na ushauri wenu umenifanikisha kuoa bint kigoli kabisa wengi walinambia nitulie nitapata tena kigoli kweli ni miezi kadhaa sasa nafurahi ndoa na uchumba wetu hatukuwah kukosana hata kidogo kama ilivyokuwa kwa wa zaman

Ahsanten sana

Sent using Jamii Forums mobile app
HONGERA MKUU. MUNGU AWATANGULIE KWENYE MAISHA MATAKATIFU YA NDOA
 
Back
Top Bottom