Sifa ya kusoma chuo unayo yaani at least four points from two principle subjects.
Chamsingi unapoomba uwe makini kusoma vigezo maalumu kwa kozi unayotaka kuomba. Kuna wanaotaka at least a D for two subjects, hizo usiombe maana wewe japo una pointi 4 kwenye masomo mawili lakini somo moja hujafikisha D!
Hivyo busara katika kujaza uchaguzi wako ndio utakaoamua kama utapata au la!