Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,410
- 46,283
Ni hatari vijana kuwa na imani za kishirikina ili upate pesa,Nakumbuka vijana wengi waliokua wanatubadilishia fedha Tunduma walifata pesa hizo Kongo kilichokua kinafanyika mganga anawaambia wamrushie kuku mwenye njaa punje za mahindi akitafuna punje moja utakua na fedha nyingi ila baada ya mwaka unakufa kweli hatanii na Mali zinapotea kabisa...wengi walidhani utani walichukua na miaka ikahesabu wamekufa ni ujinga wa hali ya juu kuamini katika ushirikina kupata pesa wakati pesa zipo tuu...