Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,880
- 4,882
Wakuu habari ya January
mtakumbuka siku chache zilizo pita nilikuja hapa kuwalalamikia kuwa mmenipa ushauri wa kipuuzi baada ya kuachwa na shemeji/wifi yenu eti kwa sababu nimemchapa kibao baada ya kunitibua.
Aliondoka na akasema harud tena, nilikuja hapa jamvini kuwalalamikia na ktk bandiko hilo kuna walionipa ushauri wakisema nimkazie, nisimtafute atarudi mwenyewe..
Niliamua kuufuata ushauri huo nilikaa kimya bila kumtafuta wala kuonesha kwamba ninajutia kwa kitendo nilicho fanya.
Jana amenitumia sms yey mwenyewe akiniomba msamaha na akasema hatarudia tena kwani amesha jua mimi ni mkali na sipendi utoto...
Ahsanteni wana MMU kumbe wanawake sometimes wanahitaji kubustiwa kidogo ili akili ikae sawa