Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mratibu wa Shughuli za Utawala Uplands Fm Redio Ndugu Noby James Swalle amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mji Mwema Halmashauri ya Mji Njombe, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM.)
Ndugu Noby amekabidhiwa fomu mapema leo Jumamosi Juni 28, na Katibu wa CCM wa Kata ya Mji Mwema katika ofisi za chama hicho zilizopo Mji Mwema.
Chanzo: Uplands FM
Ndugu Noby amekabidhiwa fomu mapema leo Jumamosi Juni 28, na Katibu wa CCM wa Kata ya Mji Mwema katika ofisi za chama hicho zilizopo Mji Mwema.
Chanzo: Uplands FM