Mratibu Elimu kata ya Kabarimu wilayani Bunda anadhalilisha Walimu

Ila mwalimu hata awe profesa ule uoga hauwatoki sijui mkoje yani
Ni kwa sababu kazi yao ni kutoa Huduma sawa na viongozi wa dini na wamefunzwa kuwa watiifu kwa kila mamlaka iliyoko juu yao, na wefunzwa nidhamu na utanashati kuliko wafanyakazi wote. Ndo maana muda wote wanaonekana watu dhaifu.

Ila walimu wa siku hizi ni wa kidijitali, yani ni fujo tupu.
 
Walimu sometimes wamezidi kwakweli

MTU Kama afisa elimu kata anakundesha vipi.

Mlipaswa mumkazie Hadi aombe yeye mwenye kusepa Hilo eneo

Acheni uoga was kifala
 
Hawana fujo zozote zile, wakati wa ukuaji hakuna kada niliyokuwa naiheshimu kama hiyo
 
Kada ya ualimu ni fitina majungu na uchimvi!
 
REO anahoji wakati ndiye RAS wa elimu ktk mkoa!
Kimantiki ndiye mteuzi.
Pili walimu wanaotishiwa na AEK (Afisaelimu Kata) kwa chochote kile ,hawajitambui kabisaa kabisaaa!
AEK si mamlaka ya Mwalimu sasa anawatishia kwa lipi?
Hana chochote cha kuwafanya. Hata barua ya onyo hana mamlaka ya kumwandikia mwalimu yeyote ktk kata.
Kifupi ni upumbavu wenu walimu kutishiwa na AEK!
Amkeni na someni sheria ya namba 25 ya TSC ya 2015 na kanuni zake za 2016.
 
Tatizo linaweza kuwa aina ya Walimu.
Viongozi wengi wa Kitanzania hutawaliwa sana na mazingira yao, kama alishawasoma Waalimu wengi akabaini ni ana fulani ya watu anaoweza kuwaburuza au Waalimu wenyewe walimpa nafasi ya kuwaburuza lazima awaburuze tu.
 
Well said Mkuu
 
Asante mkuu
Walimu sometimes wamezidi kwakweli

MTU Kama afisa elimu kata anakundesha vipi.

Mlipaswa mumkazie Hadi aombe yeye mwenye kusepa Hilo eneo

Acheni uoga was kifala

Good
 
majina mengine huakisi tabia ya mtu.. huyo ni tabu tupu
 
Kunafikia na kujikuta umehamishiwa eneo mabonde kiinama huko ,all in all umeongea uzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…