Mramba na Yona, Wakabidhiwa vifaa vya usafi Hospitali ya Palestina

Hakika hujakosea umenena vyema wenzake w
 
HAWA NI WASOMI NADHANI WANGEPEWA ADHABU KAMA YA KUFUNDISHA VYUO VYENYE UHABA WA WAFUNDISHAJI.
Weee mtupu kichwani eeh?

Na hawa watu walioko jobless?
Yaani muhalifu ukampe maker pen na chumba chenye Ac eti kufundisha ndo adhabu....?
 
Mazuri waliyofanya ni mengi kuliko hilo walilohukumiwa nalo. Kuna wengi wapo njee wameliibia taifa huku akilindwa na chama pamoja na mfumo.


Nadhani hawa walitegeshewa hiyo dhambi bila kusoma alama za nyakati, anyway ni vema wembe huo utumike kwa wengine waliojificha nyuma ya pazia
 
Ngoja nipige hata millioni 100 labda ntapewa adhabu ya kudeki nyumba nyeupe
 
WanaJF hapa jamvini ni sehemu ya kuelimishana. Natupia Sheria ya 'The Community Service Act, No.6/2002 au Cap.291 ambayo imemewapa fursa Mramba na Yona, kutumikia adhabu nje ya magereza kwa kufanya kazi za kijamii. Sheria hii imetungwa na sisi wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu yaani wabunge. Ipitieni mujiridhishe.
 

Attachments

  • CAP 291.pdf
    44.1 KB · Views: 42


Je bado wataendelea kuitwa Mheshimiwa?
 
Hawa ni viongozi waliokuwa waandamizi katika taasisi na wizara nyeti za umma!
Is this right treat!

 
Baada ya picha nini kilifuata? au ndo ilikuwa...........tayari wazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…