PreGE2025 Mradi wa uwanja wa ndege mwanza miaka 3 bila kukamilika. Wananchi tuelezwe tatizo ni nini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Rais atafika Mwanza kuzindua daraja la Busisi Kigongo lakini wananchi wanashangazwa pia na dana dana zinazopigwa kukamilisha uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya wa kimataifa.

Ni kweli kwa hili tunaidai Serikali kwa vile ni shs bn 3 kati ya 28 zimetolewa hadi sasa kipindi cha miaka miwili.

Ni jambo la kusikitisha sana. Cha kujivunia hakiwezi kuwa ni Daraja la JPM pekee.

Wananchi wanauelewa mkubwa mno wa kudanganywa pipi. Badilikeni. Rais tupia jicho kwenye mradi huu ambao unahujumiwa kisiasa.
 
Si kweli pesa Mama katoa zote. Hatuna deni nae
 
Sa100 anakuja huko muulizeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…