Mradi wa utotoleshaji wa vifaranga unalipa

Aman Ng'oma

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
961
533
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka apate mwongozo wa kitaalam namna gani anaweza kutengeneza pesa kupitia ufugaji wa kuku hao.

Kitu cha kwanza tulimuuliza, anashilingi ngapi kama mtaji alioandaa kwa ajili ya mradi wake. Mheshiwa akasema ana Milioni 50. Tukamwambia tunatambua unapenda sana kufuga lakini kwasababu umetuita, tunaomba tukushauri. Badala ya kufuga anzisha mradi wa utotoleshaji wa vifaranga walioboreshwa. Badala ya kufikiria kuuza kuku chotara kama wa nyama baada ya miezi 3 au 4 au mayai mara baada ya kuanza kutaga, utakuwa ukiuza vifaranga.

Akauliza kwa hiyo itabidi nianze kufuga kuku hao kama wazazi ili wanipatie mayai nitakayotumia kwa ajili ya kuatamisha ili kuzalisha vifaranga hao kisha niwauze? Kampuni yetu ikamwambia hapana. Utotoleshaji wa vifaranga na ufugaji wa kuku wa asili walioboreshwa ni vitu viwili tofauti. Ni miradi miwili inayojitegemea. Tukamwambia, Ukitaka ufanikiwe katika mradi wako kwanza shika mradi mmoja ili umudu kuusimamia vyema.

Wapi nitayapata mayai bora yenye mbegu ya kuweza kuendesha mradi huo. Tukamwambia kampuni yetu ina wafugaji wa kutosha wa kuku wa asili walioboreshwa ambao tunawaita kama outgrowers. Tunawauzia vifaranga kisha tunawasaidia kwenye huduma za ugani pale kuku wanapokuwa wanaumwa au chakula pale wanapokosa pesa. Wafugaji wakituita tunaitika haraka kutoa msaada wetu wa kila hali na kuku wakianza kutaga wanatuletea mayai hayo ofisini kwetu na sisi tuwauzia wateja wetu wanaozalisha vifaranga.

Kwa mantiki hiyo tukamwambia mayai kwa ajili ya mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga kampuni yetu itamuuzia. Kampuni yetu inauza tray moja la mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa shilingi 17,000. Ni mayai ya uhakika yanayotoka kwenye vyanzo salama. Tukamwelekeza anunue mashine mbili moja hatcher na nyingine ni setter zenye uwezo wa kuingiza mayai 5500 kwa wiki. Bei za mashine hizo zote mbili ni shilingi milioni 25.

Kwa kawaida mashine ya kutotolea vifaranga ina sehemu mbili, sehemu ya kwanza ni ile sehemu ya kuatamishia mayai na sehemu hiyo tunaiita setter na sehemu ya pili ni ile ya kutotoleshea vifaranga tunaiita hatcher. Kuna mashine zingine Setter na hatcher zote ziko kwenye mashine moja ambapo setter inakuwa juu na hatcher inakuwa chini na wakati nyingine huwa kwenye mashine 2 tofauti kama tulivyokwisha kubainisha hapo awali.
Uwezo wa utotoaji wa mashine hizo ni asiliamia 96.

Maana yake ni kwamba kama kila wiki mayai 5500 yatakuwa yanaingizwa katika mashine na mayai yakawa mazuri kwa maana yametoka kwenye kuku wazazi waliotuzwa vyema, maana yake ni kuwa katika mayai 5500 yatakayoingizwa katika mashine, mayai 5280 yataanguliwa na kutoa vifaranga. Kwa sababu wewe unakuwa mzalishaji, basi utauza kila kifaranga mmoja kwa shilingi 1700 kwa maagent au wafugaji binafsi wanaokuja shambani kununua au kufuata vifaranga hao. Na maagent, wao watapanga bei zao ili nao wapate faida.

Wewe mzalishaji umezalisha na kila kifaranga ukakiuza kwa shilingi 1700, kwa vifaranga 5280 maana yake utaingiza tsh 8,976,000/= kwa wiki na kwa mwezi utakuwa na shilingi 35,904,000. Kama wiki moja mashine inaingiza mayai 5500, kwa mwezi mzima utahitaji mayai tray 22000 sawa na tray 733 kila tray ni tsh 17,000/= ukizidisha hapo utapata tsh 12,461,000 kama gharama za ununuzi wa mayai ya mbegu ya kuku asili walioboreshwa. Mshahara wako kwa mwezi tsh 1,200,000/=, Mshahara wa hatchery attendant 700,000/=, gharama ya umeme kwa mwezi ni tsh 500,000/=, Maji tsh 150,000/= usafari tsh 400,000/=. Jumla ya gharama zote kwa mwezi itakuwaa tsh 15,411,000/=. Ukichukua mauzo yote ukatoa gharama utajikuta unabaki na tsh 20,493,000/= kama faida sawa na tsh 5,123,250 kwa wiki.

Baada ya kumpigia hesabu hizo alikubaliana na wazo letu na akanunua mashine na kuanza rasmi mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga.
Sasa hivi anaiona faida ya kuzalisha vifaranga na sisi tumebaki kama watoaji wa mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa ajili ya Biashara yake. Kwa kushika kazi moja unapunguza maumivu ya kichwa kuwahangaikia kuku mara waumwe mara utagaji usiwe mzuri kutokana na matunzo na mambo mengine.

NB: Mashine za kutotolea vifaranga zinaitwa Incubators.

Kwa mahitaji ya mayai ya kuku asili walioboreshwe na ushauri wa miradi ya ufugaji, Biashara, Masoko na Mitaji usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0767989713, 0786989713 na 0715989713.
KINASORU EAST AFRICA (T) LTD
 
Ujumbe umefika. Lakini pia ungewashauri wadau hapa kuwa kuna incubators za mayai machache ambazo bei yake ni nafuu. Believe me capital ya 25m it's a lot kwa wanajukwaa wengi hapa. Watu wana mbwembwe kibao humu jukwaani ila level zao ni vimilioni 2, 3 mpaka 5.
 
Hayo maelezo yake ni too shallow. Kuna changamoto nyingi nyuma ya mradi huo. Mfano:- ugonjwa, soko n.k.
 
Leta yako basi yaliyo deep watu wakusome. Nikuulize magonjwa gani yanayoathari utotoreshaji? Na ulishawahi hata kwenda kuoda vifararanga na ukauta hakuna foleni ndefu, hii nini maana yake kimasoko. Usikurupuke katika kuandika. Kama field siyo yako hutoweza kuelea katika bahari hiyo. Hebu soma vizuri hiyo post yangu. Hiyo biashara ishaanza kukuoperate na inalipa kuliko unavyodhani. Haihusishi mwenye mradi kufuga kuku hapo.
 
Boss hizo incubators hakuna za bei rahisi ila namie mlala hoi niweze kuafford?
Mmmh M25 mafao yangu ya kustaafia
 
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka apate mwongozo wa kitaalam namna gani anaweza kutengeneza pesa kupitia ufugaji wa kuku hao.
Kitu cha kwanza tulimuuliza, anashilingi ngapi kama mtaji alioandaa kwa ajili ya mradi wake. Mheshiwa akasema ana Milioni 50. Tukamwambia tunatambua unapenda sana kufuga lakini kwasababu umetuita, tunaomba tukushauri. Badala ya kufuga anzisha mradi wa utotoleshaji wa vifaranga walioboreshwa. Badala ya kufikiria kuuza kuku chotara kama wa nyama baada ya miezi 3 au 4 au mayai mara baada ya kuanza kutaga, utakuwa ukiuza vifaranga.
Akauliza kwa hiyo itabidi nianze kufuga kuku hao kama wazazi ili wanipatie mayai nitakayotumia kwa ajili ya kuatamisha ili kuzalisha vifaranga hao kisha niwauze?
Kampuni yetu ikamwambia hapana. Utotoleshaji wa vifaranga na ufugaji wa kuku wa asili walioboreshwa ni vitu viwili tofauti. Ni miradi miwili inayojitegemea. Tukamwambia, Ukitaka ufanikiwe katika mradi wako kwanza shika mradi mmoja ili umudu kuusimamia vyema.
Wapi nitayapata mayai bora yenye mbegu ya kuweza kuendesha mradi huo. Tukamwambia kampuni yetu ina wafugaji wa kutosha wa kuku wa asili walioboreshwa ambao tunawaita kama outgrowers. Tunawauzia vifaranga kisha tunawasaidia kwenye huduma za ugani pale kuku wanapokuwa wanaumwa au chakula pale wanapokosa pesa. Wafugaji wakituita tunaitika haraka kutoa msaada wetu wa kila hali na kuku wakianza kutaga wanatuletea mayai hayo ofisini kwetu na sisi tuwauzia wateja wetu wanaozalisha vifaranga . Kwa mantiki hiyo tukamwambia mayai kwa ajili ya mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga kampuni yetu itamuuzia.
Kampuni yetu inauza tray moja la mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa shilingi 17,000. Ni mayai ya uhakika yanayotoka kwenye vyanzo salama.
Tukamwelekeza anunue mashine mbili moja hatcher na nyingine ni setter zenye uwezo wa kuingiza mayai 5500 kwa wiki. Bei za mashine hizo zote mbili ni shilingi milioni 25.
Kwa kawaida mashine ya kutotolea vifaranga ina sehemu mbili, sehemu ya kwanza ni ile sehemu ya kuatamishia mayai na sehemu hiyo tunaiita setter na sehemu ya pili ni ile ya kutotoleshea vifaranga tunaiita hatcher. Kuna mashine zingine Setter na hatcher zote ziko kwenye mashine moja ambapo setter inakuwa juu na hatcher inakuwa chini na wakati nyingine huwa kwenye mashine 2 tofauti kama tulivyokwisha kubainisha hapo awali.
Uwezo wa utotoaji wa mashine hizo ni asiliamia 96. Maana yake ni kwamba kama kila wiki mayai 5500 yatakuwa yanaingizwa katika mashine na mayai yakawa mazuri kwa maana yametoka kwenye kuku wazazi waliotuzwa vyema, maana yake ni kuwa katika mayai 5500 yatakayoingizwa katika mashine, mayai 5280 yataanguliwa na kutoa vifaranga.
Kwa sababu wewe unakuwa mzalishaji, basi utauza kila kifaranga mmoja kwa shilingi 1700 kwa maagent au wafugaji binafsi wanaokuja shambani kununua au kufuata vifaranga hao. Na maagent, wao watapanga bei zao ili nao wapate faida.
Wewe mzalishaji umezalisha na kila kifaranga ukakiuza kwa shilingi 1700, kwa vifaranga 5280 maana yake utaingiza tsh 8,976,000/= kwa wiki na kwa mwezi utakuwa na shilingi 35,904,000. Kama wiki moja mashine inaingiza mayai 5500, kwa mwezi mzima utahitaji mayai tray 22000 sawa na tray 733 kila tray ni tsh 17,000/= ukizidisha hapo utapata tsh 12,461,000 kama gharama za ununuzi wa mayai ya mbegu ya kuku asili walioboreshwa. Mshahara wako kwa mwezi tsh 1,200,000/=, Mshahara wa hatchery attendant 700,000/=, gharama ya umeme kwa mwezi ni tsh 500,000/=, Maji tsh 150,000/= usafari tsh 400,000/=. Jumla ya gharama zote kwa mwezi itakuwaa tsh 15,411,000/=. Ukichukua mauzo yote ukatoa gharama utajikuta unabaki na tsh 20,493,000/= kama faida sawa na tsh 5,123,250 kwa wiki.
Baada ya kumpigia hesabu hizo alikubaliana na wazo letu na akanunua mashine na kuanza rasmi mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga.
Sasa hivi anaiona faida ya kuzalisha vifaranga na sisi tumebaki kama watoaji wa mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa ajili ya Biashara yake. Kwa kushika kazi moja unapunguza maumivu ya kichwa kuwahangaikia kuku mara waumwe mara utagaji usiwe mzuri kutokana na matunzo na mambo mengine.
NB: Mashine za kutotolea vifaranga zinaitwa Incubators.
Kwa mahitaji ya mayai ya kuku asili walioboreshwe na ushauri wa miradi ya ufugaji, Biashara, Masoko na Mitaji usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0767989713, 0786989713 na 0715989713.
KINASORU EAST AFRICA (T) LTD
Ofisi ipo sehemu gani mkuu?
 
Mleta mada tafadhali nieleweshe hapo kwenye mayai 5500 kila wiki. Una maanisha kila wiki mayai 5500 yanakua yametotolewa yote kisha unaweka mengine? Nijuavyo mimi mayai huhitaji siku21 kutotolewa. Au haya mayai "yaliyoboreshwa" yanahitaji siku saba tu?
 
Baba Mkali,
Kwa kawaida incubator inayochukua mayai 5500, full capacity yake ni mayai 16500. Mashine kama hiyo hupaswi kujaza mayai yote kwa kuwa mfumo wa mashine za kutotolea vifaranga unavyotengenezwa si kwa ajili ya kujaza mayai at its full capacity. Kwanini, kwa sababu ukijaza mayai kadiri ya uwezo wa mashine, maana yake ni kuwa utatakiwa ukaa siku 21 za kusubiri mayai uliyoyaingiza katika mashine hiyo hadi yatotolewe.

Na kwa kawaida mayai yanayofaa kutotoleshwa yanapaswa yasizidi siku kumi toka mayai hayo yatagwe lakini inafaa zaidi yawe yaliyotagwa ndani ya siku saba na siku ya nane yaingizwe katika mashine kwa ajili ya kuanza kuatamishwa. Mayai yaliyokusanywa ndani ya siku saba na siku ya nane yakaingizwa katika mashine yanakuwa na ufanisi mkubwa katika kutotolewa. Kwahiyo kama ukisema ujaze mayai mashine yako yote maana yake ni kwamba utapoteza mayai yatakayotagwa kabla ya siku 21 wakati ukisubiri mayai ya mwanzo yaweze kutotolewa.

Kwa msingi huo machine nyingi zimetengezwa katika mfumo ambao, kama uwezo wa mashine ni kuingiza mayai 3186 hatcher yake itaingiza mayai 1062. Hii inakufanya kila wiki uwe unaingiza mayai. Na kama kila wiki utakuwa ukiingiza mayai maana yake kuwa kila wiki utakuwa ukizalisha vifaranga. Mfumo huu hauruhusu kupoteza mayai, mayai yote yatakayokuwa yakitagwa yataingizwa katika mashine.

Mayai ya kuatamishwa hukaa siku 21 toka siku ya kwanza kuatamishwa hadi kupata vifaranga.
 
Je wewe ni mtotoleshaji au unapenda kuwa mtotoleshaji wa Vifaranga wa kuku wa kienyeji walioboreshwa na unakosa vyanzo vya uhakika vya kupata mayai bora yenye mbegu? Kampuni yako ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD inakuhakikishia kupata mayai hayo kwa kiasi chochote utakachokihitaji. Huna haja ya kuhangaika kufuga mwenyewe. Tunakuuzia mayai na kazi ya utotoleshaji unaianza mara moja.

KINASORU EAST AFRICA (T) LTD inajivunia kuwa na mtandao mpana wa wafugaji au outgrowers ambao kampuni inawasimamia. Tuna jumla ya wafugaji (outgrowers) 60 Morogoro mjini, 30 Dodoma mjini, 1, Dakawa Mvomero . Tunaendelea kuwatengeneza outgrowers wengine katika mikoa ya Singida, Tabora na Ruvuma. Lengo letu ni kuwa na mtandao mpana zaidi wa wafugaji wa kuku wa asili walioboreshwa Tanzania kuweza kutosheleza soko la watotoleshaji.

Mfumo wetu wa biashara unatoa faida kwa mfugaji, kampuni yetu pamoja na mnunuaji.

Mfugaji yeye ananufaika kwa kupata uhakika wa soko mara baada ya kuku wake kuanza kutaga. Ananufaika pia na ushauri na huduma za ugani ikitokea kuku wake wanaumwa pamoja na madawa na chakula pale anapoishiwa chakula na kukosa pesa. Kwa maana nyingine mfugaji anawekwa katika mazingira ya uhakika na kazi anayoifanya.

Kampuni yetu inanufaika kwanza kwa kuwa na uhakika wa kupata mayai bora na yenye sifa ya kutotoleshwa kwa kiasi chochote tunachokihitaji na kwa wakati kupitia wafugaji wetu tuliowatengeneza na hivyo kutusaidia kutatua changamoto ya oda kubwa tulizokuwa tunazipata kutoka kwenye makampuni yanayozalisha kuku hao wa asili walioboreshwa. Vile vile tunapata faida ya kuaminiwa kwa kampuni yetu kutokana na kusambaza mayai yanayokidhi vigezo na kuwavutia wateja wetu wengi. Katika kuhakikisha kuwa Kampuni yetu inanufaika kidogo na mtandao wetu wa wafugaji kuku wa asili walioboreshwa, tunaongeza asilimia kidogo kwenye mayai tunayoyakusanya kutoka kwa wafugaji wetu, tunashukuru inatusaidia kupata chochote kwa ajili ya kuendesha ofisi yetu. Halikadhalika, tunauza vifaranga wa kuku wa asili walioboreshwa kwenye mtandao wetu wa wafugaji. Kwahakika Hakuna biashara isiyokuwa na faida.

Wateja wetu wa mayai tunawasaidia kutafuta masoko ya vifaranga wao kwenye mtandao wetu wa wafugaji na hata wale walionje ya mtandao wetu wa wafugaji ambao wanahitaji vifaranga bora kutoka kwenye kampuni yetu mara baada ya kutotolewa kutoka kwenye mashine. Kitu kingine, wateja wetu wa mayai wananufaika na elimu ya uanzishaji na uendeshaji wa mradi wa utotoleshaji wa vifaranga. Tunawafundisha na kuwaelekeza nini ufanye au vitu gani vya msingi uzingatie ili uweze kuanzisha mradi wa uzalishaji wa vifaranga. Je mayai kabla ya kuingizwa katika machine na kuanza kutotoleshwa yanatibiwaje? Kampuni yetu haikuachi peke yako itakufundisha kila kitu kitakachokufanya uzalishe vifaranga bora kabisa watakaokupa jina mtaani.

Kinasoru East Africa (T) LTD inafanya kazi ya kuwaunganisha wafugaji na wazalishaji wa vifaranga na kuhakikisha kuwa huduma zinazotolewa zinakuwa bora na zenye kukidhi viwango.

Huduma nyingine ambazo Kinasoru East Africa (T) LTD inazitoa ni kuuza vifaranga wa Mayai (Layers), Vifaranga wa Nyama (Broilers),na Vijogoo. Pia tunauza vichanganyia mbalimbali vya kutengenezea chakula cha kuku na mifugo mingine mfano Nguruwe. Tunasaidia wafugaji kupata masoko ya mifugo na mazao yake. Tunatoa semina za mafunzo ya ufugaji wa kibiashara na ushauri katika miradi inayohusiana na mifugo, ikiwemo Kuku au jamii zote za ndege, Ng'ombe, Mbuzi, Kondoo, Sungura, Nguruwe na Samaki. Tunatoa huduma za Vijana wa kusimamia mashamba ya mifugo, vijana wetu ni waadilifu na waliowafundishwa vyema usimamizi wa miradi ya ufugaji. Pia tunasaidia katika kuanzisha na kusimamia miradi ya wateja wetu. Tunafanya farm feasibility study na Farm Planinng. Tunatoa huduma zote za ugani mfano matibabu, ushauri wa ufugaji bora, uandaaji wa chakula cha mifugo na mpango wa ulishaji, tunasaidia ng'ombe kuzaa, tufanya upandishaji ng'ombe kwa njia ya chupa au Artificial Insemination nk.

Tuna wataalam na mifumo inayozesha utoaji wa huduma zetu kwa uhakika na kuwafikia wateja wetu popote walipo.

Ofisi zetu za KINASORU EAST AFRICA (T) LTD, Ziko Dodoma Mjini, Mtaa wa Nduka Chamwino Bonanza, Mbele Kidogo ya Soko la Maisha Plus.

Aman Ng'oma, Mkurugenzi Mtendaji Simu namba 0767989713, 0715989713 na 0786989713. E-mail: amanngoma@gmail.com

Karibu kwa huduma bora na za uhakika.
 
Watu wengi sasa hivi wanazungumzia ujasiriamali kama njia mbadala ya kujiajiri kwa wale wasio na kazi rasmi na wastaafu au kupata kipato cha ziada kwa wale walio na kazi rasmi.

Ujasiriamali ni Mgumu. Unapoufanya lazima ukutane na changamoto lukuki. Wakati mwingine kama roho yako ni nyepesi unaweza kuacha kujishughulisha na ujasiriamali.

Kimsingi ujasiriamali mzuri ni ule unaoufanya kulinga na taaluma yako uliyoisomea. Na hii itakusaidia kuzijua mapema changamoto mbalimbali na namna ya kuzikabili. Kama utafanya ujasiriamali nje ya taaluma yako uliyosomea ni muhimu ukapata mafunzo ya kina na maridhawa ya namna ya kuendesha mradi wako toka mwanzo hadi mwisho, pia upewe changamoto mbalimbali na namna ya kuzikabili.

Usithubutu kuanza mrdi wowote ambao huna maarifa nao hata kama umemwona mtu mwingine unaufanya mradi huu kwa mafanikio makubwa. Hupaswi kuiga, kwa sababu, hujui mtu unayemuiga , hadi hapo alipofika, ni mara ngapi ameanguka hadi akaweza kuinuka tena na wewe ukaweza kumwona katika ile hali ailiyonayo sasa. Ni vizuri kwanza ukafanya utafiti wa kina juu ya uendeshaji wa mradi kutoka kwa wataalam wa mradi wako au wazoefu ambao wamekwisha kufanya aina ya maradi unaotaka kuufanya.

Ni muhimu kuwekeza pesa kwenye maarifa yatakayokuwezesha kumudu kuendesha mradi wako kwa ufanisi. Hutakiwi kubahatisha. Uendeshaji wa mradi ni sayansi.

Katika jamii yetu kuna matatizo mengi ya kiuchimi hasa vijana ambao wamemaliza vyuo mbalimbali. Wana ari ya kufanya kazi lakini kikwazo kwao ni mtaji. Kwasasa ukitaka kijana wa fani yoyote utampata. Na wengi wao wanamaarifa kichwani lakini hawana pesa kwa ajili ya kuendesha miradi. Wanabaki kuwa na matumaini tu kuwa "siku nikipata pesa nitafanya mradi kadhaa wa kadhaa" huku siku nazo zikienda.

Wenye pesa wengi ni wastaafu. Na hawa wastaafu katika kipindi chote cha utumishi wao, hawakujihusisha na ujasiriamali wowote. Walikuwa bize na kazi za waajiri wao. Sasa wakati wa kustaafu unapofika au wanapokuwa tayari wamestaafu, wanajaribu kutafuta miradi mbalimbali waifanye ili waweze kuendesha maisha yao baada ya kustaafu. Kwa kuwa watu hawa hawakujifunza au kujihusisha na ujasiriamali wakati wangalikazini, wanachofanya sasa kufikiria mradi wowote unaoingia kichwani kwake ndio autekeleza matokeo yake anaangukia pua mradi wake unafeli na hapo ndipo presha inapoamshwa. Hebu fikiria, mtu hajawahi kufanya biashara ya magari ya usafiri, unastaafu unanunua magari na anayaingiza barabarani kufumba na kufumbua gari inapinduka au kugongwa. Je mstaafu huyo atakuwa na kifua cha subira au jasho litakumtoka baada ya kupata taarifa ya ajari ya gari yake?

Kwa kifupi ni kuwa mwenye pesa hana maarifa ya kuendesha mradi anaotaka na mwenye maarifa hana pesa ya kufanya mradi uliokichwani kwake. Kwahali hiyo sasa siyo vibaya watu hawa wawili wakashirikiana. Mstaafu au yeyote mwenye pesa na angependa kufanya uwekezaji wa mradi lakini hana taaluma ya mradi au biashara anayotaka kuifanya, awekeze pesa kisha atafute kijana awekeza taaluma yake hapo na matokeo ya kuunganisha nguvu yataonekana. Mtaji uliowekezwa utazaa, tajiri atapata malipo yake na hata kijana aliyowekeza taaluma yake nae atapata malipo yake. Pesa yoyote inayowekezwa lazima izae katika kipindi kilichokusudiwa.Na kuzaa huku kwa hela ni matunda ya ushirikiano katika uendeshaji wa mradi.

Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA TANZANIA LTD, inafanya kazi ya kutoa ushauri katika miradi inayohusu ufugaji, Kilimo, Masoko, uanzishaji na usimamizi wa miradi, Kuzalisha vijana waaminifu wa kusimamia miradi, kusambaza mayai ya mbegu ya kuku wa asili walioboreshwa, kuuza vifaranga wa aina mbalimbali wa kuku i.e. Layers, Broilers, Kuku wa asili walioboreshwa,na Vijogoo. Pia tunaendesha mafunzo mbalimbali ya kuwajengea uwezo wajasiriamali katika miradi ya ufugaji, Biashara na Mitaji. Vilevile tunafanya tathmni yakinifu na ufuatiliaji wa miradi ya wateja wetu. Tunafanya pia Feasibility study na Farm planning. Vilevile tunaandiaka michanganuo ya miradi mbalimbali kadiri ya mahitaji ya wateja wetu.

Kufanikisha mambo haya, Kinasoru East Africa (T) LTD, Inashirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo Kilimo Communication services company Ltd, Communication Solution Company Ltd, Bank mbalimbali pamoja na watu binafsi.

Kwahakika Kampuni yetu inajivunia kuwa na vijana wasomi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine SUA waliobobea katika fani mbalimbali zikiwemo utaalamu katika fani za viumbe vya majini wakiwemo samaki, uchumi kilimo na biashara, Tiba za wanyama, sayansi ya wanyama, Udongo, Kilimo, Nyuki. Matunda na mbogamboga,

Tunalenga kutoa huduma katika ubora wa hali ya juu na kuweza kuwafikia wateja wetu kila pembe ya nchi yetu. Hatuhitaji kumwona mtu akishindwa kuendesha mradi kwa kukosa maarifa. Kinasoru East Africa Tanzania Ltd ni Mkombozi wako na ipo kwa ajili ya kukusaidia. Tumsaidie Rais wetu Dr John Pombe Magufuli, tuijenge nchi yetu kwa pamoja. Karibu tukuhudumie.

Ofisi za kampuni yetu ya Kinasoru East Africa (T) LTD ziko Dodoma mjini, Mtaa wa Nduka, Chamwino Bonanza mbele kidogo ya soko la maisha plus, Plot Na. 145, Block D, Nyumba Na. 27. Simu Na. 0767989713/0786989713/0715989713. E- mail yetu amanngoma@gmail.com
P.O BOX 3524
DODOMA
 
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka apate mwongozo wa kitaalam namna gani anaweza kutengeneza pesa kupitia ufugaji wa kuku hao.

Kitu cha kwanza tulimuuliza, anashilingi ngapi kama mtaji alioandaa kwa ajili ya mradi wake. Mheshiwa akasema ana Milioni 50. Tukamwambia tunatambua unapenda sana kufuga lakini kwasababu umetuita, tunaomba tukushauri. Badala ya kufuga anzisha mradi wa utotoleshaji wa vifaranga walioboreshwa. Badala ya kufikiria kuuza kuku chotara kama wa nyama baada ya miezi 3 au 4 au mayai mara baada ya kuanza kutaga, utakuwa ukiuza vifaranga.

Akauliza kwa hiyo itabidi nianze kufuga kuku hao kama wazazi ili wanipatie mayai nitakayotumia kwa ajili ya kuatamisha ili kuzalisha vifaranga hao kisha niwauze? Kampuni yetu ikamwambia hapana. Utotoleshaji wa vifaranga na ufugaji wa kuku wa asili walioboreshwa ni vitu viwili tofauti. Ni miradi miwili inayojitegemea. Tukamwambia, Ukitaka ufanikiwe katika mradi wako kwanza shika mradi mmoja ili umudu kuusimamia vyema.

Wapi nitayapata mayai bora yenye mbegu ya kuweza kuendesha mradi huo. Tukamwambia kampuni yetu ina wafugaji wa kutosha wa kuku wa asili walioboreshwa ambao tunawaita kama outgrowers. Tunawauzia vifaranga kisha tunawasaidia kwenye huduma za ugani pale kuku wanapokuwa wanaumwa au chakula pale wanapokosa pesa. Wafugaji wakituita tunaitika haraka kutoa msaada wetu wa kila hali na kuku wakianza kutaga wanatuletea mayai hayo ofisini kwetu na sisi tuwauzia wateja wetu wanaozalisha vifaranga.

Kwa mantiki hiyo tukamwambia mayai kwa ajili ya mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga kampuni yetu itamuuzia. Kampuni yetu inauza tray moja la mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa shilingi 17,000. Ni mayai ya uhakika yanayotoka kwenye vyanzo salama. Tukamwelekeza anunue mashine mbili moja hatcher na nyingine ni setter zenye uwezo wa kuingiza mayai 5500 kwa wiki. Bei za mashine hizo zote mbili ni shilingi milioni 25.

Kwa kawaida mashine ya kutotolea vifaranga ina sehemu mbili, sehemu ya kwanza ni ile sehemu ya kuatamishia mayai na sehemu hiyo tunaiita setter na sehemu ya pili ni ile ya kutotoleshea vifaranga tunaiita hatcher. Kuna mashine zingine Setter na hatcher zote ziko kwenye mashine moja ambapo setter inakuwa juu na hatcher inakuwa chini na wakati nyingine huwa kwenye mashine 2 tofauti kama tulivyokwisha kubainisha hapo awali.
Uwezo wa utotoaji wa mashine hizo ni asiliamia 96.

Maana yake ni kwamba kama kila wiki mayai 5500 yatakuwa yanaingizwa katika mashine na mayai yakawa mazuri kwa maana yametoka kwenye kuku wazazi waliotuzwa vyema, maana yake ni kuwa katika mayai 5500 yatakayoingizwa katika mashine, mayai 5280 yataanguliwa na kutoa vifaranga. Kwa sababu wewe unakuwa mzalishaji, basi utauza kila kifaranga mmoja kwa shilingi 1700 kwa maagent au wafugaji binafsi wanaokuja shambani kununua au kufuata vifaranga hao. Na maagent, wao watapanga bei zao ili nao wapate faida.

Wewe mzalishaji umezalisha na kila kifaranga ukakiuza kwa shilingi 1700, kwa vifaranga 5280 maana yake utaingiza tsh 8,976,000/= kwa wiki na kwa mwezi utakuwa na shilingi 35,904,000. Kama wiki moja mashine inaingiza mayai 5500, kwa mwezi mzima utahitaji mayai tray 22000 sawa na tray 733 kila tray ni tsh 17,000/= ukizidisha hapo utapata tsh 12,461,000 kama gharama za ununuzi wa mayai ya mbegu ya kuku asili walioboreshwa. Mshahara wako kwa mwezi tsh 1,200,000/=, Mshahara wa hatchery attendant 700,000/=, gharama ya umeme kwa mwezi ni tsh 500,000/=, Maji tsh 150,000/= usafari tsh 400,000/=. Jumla ya gharama zote kwa mwezi itakuwaa tsh 15,411,000/=. Ukichukua mauzo yote ukatoa gharama utajikuta unabaki na tsh 20,493,000/= kama faida sawa na tsh 5,123,250 kwa wiki.

Baada ya kumpigia hesabu hizo alikubaliana na wazo letu na akanunua mashine na kuanza rasmi mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga.
Sasa hivi anaiona faida ya kuzalisha vifaranga na sisi tumebaki kama watoaji wa mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa ajili ya Biashara yake. Kwa kushika kazi moja unapunguza maumivu ya kichwa kuwahangaikia kuku mara waumwe mara utagaji usiwe mzuri kutokana na matunzo na mambo mengine.

NB: Mashine za kutotolea vifaranga zinaitwa Incubators.

Kwa mahitaji ya mayai ya kuku asili walioboreshwe na ushauri wa miradi ya ufugaji, Biashara, Masoko na Mitaji usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0767989713, 0786989713 na 0715989713.
KINASORU EAST AFRICA (T) LTD
Unaweza kunieleleza nitaaitambua vp tofauti ya hatcher
 
Unaweza kunieleza tofauti ya hatcher na setter na kama zote zipo pamoja nitajuaje?
 
Leta yako basi yaliyo deep watu wakusome. Nikuulize magonjwa gani yanayoathari utotoreshaji? Na ulishawahi hata kwenda kuoda vifararanga na ukauta hakuna foleni ndefu, hii nini maana yake kimasoko. Usikurupuke katika kuandika. Kama field siyo yako hutoweza kuelea katika bahari hiyo. Hebu soma vizuri hiyo post yangu. Hiyo biashara ishaanza kukuoperate na inalipa kuliko unavyodhani. Haihusishi mwenye mradi kufuga kuku hapo.
Kwanini usingejaribu kumjibu kwa kuangalia mtazamo wake
 
Kampuni yetu ya KINASORU EAST AFRICA (T) LTD iliitwa kwa ajili ya kumshauri mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa na wazo la kufuga kuku wa asili walioboreshwa kama sehemu ya kazi yake ya ziada. Alitaka apate mwongozo wa kitaalam namna gani anaweza kutengeneza pesa kupitia ufugaji wa kuku hao.

Kitu cha kwanza tulimuuliza, anashilingi ngapi kama mtaji alioandaa kwa ajili ya mradi wake. Mheshiwa akasema ana Milioni 50. Tukamwambia tunatambua unapenda sana kufuga lakini kwasababu umetuita, tunaomba tukushauri. Badala ya kufuga anzisha mradi wa utotoleshaji wa vifaranga walioboreshwa. Badala ya kufikiria kuuza kuku chotara kama wa nyama baada ya miezi 3 au 4 au mayai mara baada ya kuanza kutaga, utakuwa ukiuza vifaranga.

Akauliza kwa hiyo itabidi nianze kufuga kuku hao kama wazazi ili wanipatie mayai nitakayotumia kwa ajili ya kuatamisha ili kuzalisha vifaranga hao kisha niwauze? Kampuni yetu ikamwambia hapana. Utotoleshaji wa vifaranga na ufugaji wa kuku wa asili walioboreshwa ni vitu viwili tofauti. Ni miradi miwili inayojitegemea. Tukamwambia, Ukitaka ufanikiwe katika mradi wako kwanza shika mradi mmoja ili umudu kuusimamia vyema.

Wapi nitayapata mayai bora yenye mbegu ya kuweza kuendesha mradi huo. Tukamwambia kampuni yetu ina wafugaji wa kutosha wa kuku wa asili walioboreshwa ambao tunawaita kama outgrowers. Tunawauzia vifaranga kisha tunawasaidia kwenye huduma za ugani pale kuku wanapokuwa wanaumwa au chakula pale wanapokosa pesa. Wafugaji wakituita tunaitika haraka kutoa msaada wetu wa kila hali na kuku wakianza kutaga wanatuletea mayai hayo ofisini kwetu na sisi tuwauzia wateja wetu wanaozalisha vifaranga.
mradi mzuri sana uchanganuzi ni mzuri ,kwanini huu ushauri na nyinyi msiutumie ili mjitanue maana nyie ni kampuni muuze vifaranga pamoja na kutotolesha mpate super profit muajiri vijana wengi sana na sisi tupate ajira kwenu hata za kufagia mabanda ya kuku

Kwa mantiki hiyo tukamwambia mayai kwa ajili ya mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga kampuni yetu itamuuzia. Kampuni yetu inauza tray moja la mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa shilingi 17,000. Ni mayai ya uhakika yanayotoka kwenye vyanzo salama. Tukamwelekeza anunue mashine mbili moja hatcher na nyingine ni setter zenye uwezo wa kuingiza mayai 5500 kwa wiki. Bei za mashine hizo zote mbili ni shilingi milioni 25.

Kwa kawaida mashine ya kutotolea vifaranga ina sehemu mbili, sehemu ya kwanza ni ile sehemu ya kuatamishia mayai na sehemu hiyo tunaiita setter na sehemu ya pili ni ile ya kutotoleshea vifaranga tunaiita hatcher. Kuna mashine zingine Setter na hatcher zote ziko kwenye mashine moja ambapo setter inakuwa juu na hatcher inakuwa chini na wakati nyingine huwa kwenye mashine 2 tofauti kama tulivyokwisha kubainisha hapo awali.
Uwezo wa utotoaji wa mashine hizo ni asiliamia 96.

Maana yake ni kwamba kama kila wiki mayai 5500 yatakuwa yanaingizwa katika mashine na mayai yakawa mazuri kwa maana yametoka kwenye kuku wazazi waliotuzwa vyema, maana yake ni kuwa katika mayai 5500 yatakayoingizwa katika mashine, mayai 5280 yataanguliwa na kutoa vifaranga. Kwa sababu wewe unakuwa mzalishaji, basi utauza kila kifaranga mmoja kwa shilingi 1700 kwa maagent au wafugaji binafsi wanaokuja shambani kununua au kufuata vifaranga hao. Na maagent, wao watapanga bei zao ili nao wapate faida.

Wewe mzalishaji umezalisha na kila kifaranga ukakiuza kwa shilingi 1700, kwa vifaranga 5280 maana yake utaingiza tsh 8,976,000/= kwa wiki na kwa mwezi utakuwa na shilingi 35,904,000. Kama wiki moja mashine inaingiza mayai 5500, kwa mwezi mzima utahitaji mayai tray 22000 sawa na tray 733 kila tray ni tsh 17,000/= ukizidisha hapo utapata tsh 12,461,000 kama gharama za ununuzi wa mayai ya mbegu ya kuku asili walioboreshwa. Mshahara wako kwa mwezi tsh 1,200,000/=, Mshahara wa hatchery attendant 700,000/=, gharama ya umeme kwa mwezi ni tsh 500,000/=, Maji tsh 150,000/= usafari tsh 400,000/=. Jumla ya gharama zote kwa mwezi itakuwaa tsh 15,411,000/=. Ukichukua mauzo yote ukatoa gharama utajikuta unabaki na tsh 20,493,000/= kama faida sawa na tsh 5,123,250 kwa wiki.

Baada ya kumpigia hesabu hizo alikubaliana na wazo letu na akanunua mashine na kuanza rasmi mradi wake wa utotoleshaji wa vifaranga.
Sasa hivi anaiona faida ya kuzalisha vifaranga na sisi tumebaki kama watoaji wa mayai ya kuku wa asili walioboreshwa kwa ajili ya Biashara yake. Kwa kushika kazi moja unapunguza maumivu ya kichwa kuwahangaikia kuku mara waumwe mara utagaji usiwe mzuri kutokana na matunzo na mambo mengine.

NB: Mashine za kutotolea vifaranga zinaitwa Incubators.

Kwa mahitaji ya mayai ya kuku asili walioboreshwe na ushauri wa miradi ya ufugaji, Biashara, Masoko na Mitaji usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0767989713, 0786989713 na 0715989713.
KINASORU EAST AFRICA (T) LTD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom