ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,978
Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio kipindi Barabara za lami nyingi zimejengwa sana kuliko wakati mwingine wowote kabla yake,takribani km 1,000 zimeng'arisha Mitaa ya Miji kote Nchini.
Mitaa ya Miji mikubwa na kidogo imepambwa Kwa lami na kunakishiwa na taa za barabarani yaani usiku ni kama mchana.
Halafu anakuja mpumbavu mmja anaongea shombo ,ukimwambia leta takwimu tumpime Kiongozi anaingia mitini 😂😂
Mji nakoishi jumla ya km 25 za lami zimejengwa ndani ya miaka 4 tuu huku Vijiji vikiunganishwa na Miji Kwa Barabara za changarawe takribani km 12,000 na madaraja Mazuri hasa ya Mawe (Arch Bridge).
View: https://www.instagram.com/p/DOGuP09COcz/?igsh=MW9sc2M4YTFteTZwbA==
My Take
Sio tuu SSH anastahili Bali tutatamba nae Hadi 2035.
Kuanzia 2026-2030 Nguvu pia ielekezwe kwenye Barabara Kuu za Kuunganisha Mikoa na Mikoa badala ya kujenga Dar & Dom pekee.
View: https://www.instagram.com/p/DLh7TXdtlLz/?igsh=MmxhN296cmdjZnA=