Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,310
Tanzania!!
I cant you!!
is there a place where a group of people sit and look at the whole picture? get it in their heads and set priprorities? hata sidhani,
... Jamani huko juu mbona wengine mnaponda?? kama TBC yetu ina channel alizotaja Charity kama BBC, AlJaazera, Channel 10, Citizen (kenya), Setanta (sports) na kadhalika nadhani kwa shs alfu 9 tu sio mbaya kiasi hicho! Ndio Mwanzo. labda niulize tu kama kuna channel yenye Sitcoms kama ile iliyowahi kuwa ITV ya EBN ambayo sijui iliishia wapi iliyokuwa na Sitcoms kama The Parkers, Everybody Loves Raymond, Daimon nakadhalika! Halafu huu ushamba nao, jamani nauliza msinicheke. Hivi hii Decorder unaweza kuifunga mwenyewe bila kulazimika kutafuta fundi na haina haja ya Dishi la nje????
watoto wanaipenda kwani channel zao za watoto ni nzuri (kwangu) kuliko zilizokuwapo DSTV ($30,000)
sasa hivi chaneli zimeongezeka jamani zinafika 50 na kitu na ukiwa na antena ya nje unapata local chanels
Hivi wananchi haswa watanzania masikini watahitajika kuwa na decoda ngapi ili waweze kuona stations locat/za hapa nyumbani walizokuwa wanaziona mwanzo? Maana kila watu wanajiunga kivyao na wanatoa decoda kianaaina/kivyao.Kiukweli huo mpango wao unahitajika kuboreshwa ili hiyo digital broadcasting iwe bora maana kwa sasa bora analog isiyokwamakwama. digital inakwamama hadi unachoka kutazama. cha msingi kama vipi waongeze minara ili upatikanaji wa mawimbi uwe bora zaidi
drphone rejea posts za mwanzoni mwa topiki!
naambiwa mikoani decorder wanaziuza hata kabla ya kuwasha mitambo yenyewe! Mlioko Mwanza na Arusha tuhabarisheni.
Hivi wananchi haswa watanzania masikini watahitajika kuwa na decoda ngapi ili waweze kuona stations locat/za hapa nyumbani walizokuwa wanaziona mwanzo? Maana kila watu wanajiunga kivyao na wanatoa decoda kianaaina/kivyao.
Bora iwe hivyo, maana wasipofanya hivyo tutapata taabu kuwa na decorder nyingi!kuna mazungumzo yanaendelea baina ya hawa wamiliki wa vituo vya tv kuona kuwa wanatumia mfumo mmoja wa digital kurusha matangazo
Hizo TV stesheni zote zitakazojiunga na Star Media bado hazina ubora unaotakiwa, kuna ulazima wa kuwepo ITV na Star TV.Kwa current gossip nilizopata ni kuwa hawa jamaa wa itv wana bifu na tbc, so huo muafaka ni adimu kidogo. Pia star tv naona wako kivyaovyao sana. Pia watakaojiunga na star media ni pamoja na tv clouds, mlimani tv, c2c, tbc 2. Utakuwa na haja gani tena ya tv zingine?