Hivi APOPO ni NGO au mradi? Kwanini ipo Sua? Sua ni shirika la umma ambalo linakumbatia NGO hii, sijui kama MoU ya pande hizi mbili imekaa sawa zaidi ya kunufaisha baadhi ya watendaji katikati chuo hiki.
NGO hii haifuati masharti flaniflani ambayo Sua inataka lakinihaikaguliwi. watendaji mko wapi wafanyakazi pia wana mgogoro mkubwa na uongozi wa apopo kiasi kwamba wanatishiwa kuwa asiyeridhika aache kazi overtime tu mzungu anashindwa kulipa kima cha Sua mpaka aongee na wafadhili lakini bado watu wanapiga kazi zaidi ya lisaa.
Hawa APOPO hawalipi kodi hata Meneja wa TRA Morogoro anajua kwa zaidi ya miaka minne sasa, halafu mzungu anadai hawaamini wafanyakazi wake hivyo hawezi kuwa guarantor kwenye mambo ya mikopo shit lakini nje APOPO inaonekana njema, wageni kibao tunaenda pale na kuona mapanya yanavyobahatisha kunusa TB na mabomu duh, ujinga mtupu. NGO ina hela kuliko Sua halafu Sua bado inaikumbatia! Hapana wizara inabidi iingilie kati hii sio fair NGO kukaa ndani ya Sua.