Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Sofu

Bosspraise

Senior Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
134
Reaction score
124

Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu!
Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi!

Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege

πŸ“ Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500
πŸ’° Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm!

βœ… Viwanja vipo karibu sana na:

Shule ya Kibaha Sofu Centre

Shule mpya ya msingi na sekondari

Hospitali na huduma za afya

Huduma zote muhimu: maji, umeme, barabara

Makazi ya watu tayari yapo

πŸ—οΈ Ardhi ni tambarare, imara na inayofaa moja kwa moja kwa ujenzi.

πŸ“… Unapanga kutembelea lini?
Tuwasiliane mapema tupange ratiba.

πŸ“ Ofisi zetu zipo: Sinza Palestina
πŸ“ž Piga simu au WhatsApp: 0742 921 195
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…