Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,442
- 74,061
Mimi Nilinunua Muda Kidogo 2017 Ilikuwa Tshs 350000/= Lakini Nimeingia Dodoma Hapa Shoppers Inauzwa Sasa Tshs 500000/=Sony watts 300 zinasema bei gani kwa sasa?
Mimi Nilinunua Muda Kidogo 2017 Ilikuwa Tshs 350000/= Lakini Nimeingia Dodoma Hapa Shoppers Inauzwa Sasa Tshs 500000/=Sony watts 300 zinasema bei gani kwa sasa?
[emoji3][emoji3] uko sahihiusifananishe Sony na mambo ya kijinga, mr UK ni mchina
Bei za ma mall ila kiuhalisia hata hiyo 3.5 nyingi..Mimi Nilinunua Muda Kidogo 2017 Ilikuwa Tshs 350000/= Lakini Nimeingia Dodoma Hapa Shoppers Inauzwa Sasa Tshs 500000/=