Mr. Tanzania na katazo la kukaa uchi

gwangaeto

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
653
Reaction score
763
Kama mkulu alitangaza, hakuna kukaa uchi, sasa kuna majamaa apa azam two sijui yako ukumbi gani yanatunisha kila kiungo, adi makalio.

Vipi ili katazo haliwahusu hawa, au ni la kina gigi mane tu.
 
Litakuwa linawahusu pia maana mashine zao zinaji......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…