MR.Tanzania baada ya kulewa chakari

Hot pot family, ni kweli mkuu
ila hot pot family suma g alikuwa anaonekana yeye tu,sijaona kazi za wengine,kwanza hot pot family ni watu wangapi?

natamani wangerudi pamoja na wale solid ground family
 
ila hot pot family suma g alikuwa anaonekana yeye tu,sijaona kazi za wengine,kwanza hot pot family ni watu wangapi?

natamani wangerudi pamoja na wale solid ground family
Ni kweli mkuu Suma G ndie king'ara wao, kwa kweli hata mimi sifahamu idadi yao, mara nyingi nilipokuwa nasikiliza nyimbo za Suma G au tulipokuwa tunaonyeshwa kwenye TV Suma alikuwa lazima awakilishe kutaja "hot pot family" mwanzo wa nyimbo au mwisho wa nyimbo
 
Hahhaha......shemejiiiiiiiiiii......mekumiss sana wewe.
Nipo jimama lao, nimetulia tuli.
Ila huo mzigo hatareeeeeee, afu umekunjwa kuelekea chini

chini!!!!!! haaaaaaaaa niachie mbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…