Eti waungwana huyu jamaa mvumbuzi wa kwanza Tanzania kutengeneza gari (Mr.Sugu) mbona hasikiki tena?
Mara ya mwisho kumsikia ni baada ya kutoa toleo jingine; Mr.Sugu na gari na toleo jingine jipya la gari yake ambayo amefanikiwa kuitengeneza katika miaka ya hivi karibuni na sasa ipo mtaani inatembea kama ilivyo kwa gari nyengine kutoka Japani au Korea
GARI iliyobuniwa na Mr Sugu Mzanzibar likiwa katika maonesho ya Siku ya Wafanyakazi 'MAY DAY' yanayofanyika Viwanja vya Amaan Nje.