Mr Sugu, CCM ni nyumbani kwako kwa sasa, karibu sana

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,189
1,509
Kwa sasa Chama chako kiko katika wakati mgumu wa mgawanyiko wa nani kiwe upande wake.

Kuna timu Mwenyekiti, Lema and the Company, hawa wako na wasi wasi, na hawana imani tena na Timu Makamu na company yake ya Msigwa , John and the company.

Bahati mbaya kwako mate wangu Mr Sugu ni kwamba wewe kwenye hizo timubili hauko upande wowote, timu Mwenyekiti wako tayari kukuacha just kuungana na timu Makamu Mwenyekiti.

Kwa sasa Chadema kwao ni muhimu kuliko wewe, Sugu, sehemu salama kwako ni CCM, njoo tujenge Mbeya yetu, njoo tujenge Tanzania yetu.

Unajua kabisa lile dongo la rushwa kuwa kubwa sasa Chadema lilotolewa na Makamu Mwenyekiti ni lako.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan.
 
Kwa hiyo Tulia hatoshi kujenga hiyo Mbeya yenu Hadi aje Sugu?

Siasa za kilaghai zimepitwa na wakati, jibuni hoja za Lissu,
Mtasubiri sana kuna CDM ikigawanyika,
 
Heading ulivoweka ni kama sugu kashatangaza kuachana na CDM, hiyo migawanyilo ipo wapi? na lini lissu kamsema sugu? Lissu katoa tahadhari na kukataa rushwa na rushwa lazima ikewe hadharani CDM siyo CCM ambayo anayeongea ni mwenyekiti wengine ni ndio
 
Tulia is far away kumlinganisha na Sugu, tunamkaribisha awe Mwanachama mtiifu wa CCM
 
Huyo Sugu Clouds wanamjua 🐼

Hakuingia na kikosi wala nini ila walisalimu amri 😂😂

Sugu ni Mbunge pekee wa Upinzani aliyewasalimu Wananchi wa Mbeya Mjini akiwa Ndani ya Gari ya Ikulu pembeni ya Shujaa Magufuli LAKINI hakuunga Juhudi dadeki

Mapembelo vavene 😂😂😂
 
Heading ulivoweka ni kama sugu kashatangaza kuachana na CDM, hiyo migawanyilo ipo wapi? na lini lissu kamsema sugu? Lissu katoa tahadhari na kukataa rushwa na rushwa lazima ikewe hadharani CDM siyo CCM ambayo anayeongea ni mwenyekiti wengine ni ndio
Mkuu uchaguzi wa kanda ya Nyasa ni anagombea nafasi ya Mwenyekiti Exile
 
Huyo Sugu Clouds wanamjua

Hakuingia na kikosi wala nini ila walisalimu amri

Sugu ni Mbunge pekee wa Upinzani aliyewasalimu Wananchi wa Mbeya Mjini akiwa Ndani ya Gari ya Ikulu pembeni ya Shujaa Magufuli LAKINI hakuunga Juhudi dadeki

Mapembelo vavene
Karibu saaaana mkuu johnthebaptist CCM ndio sehemu sahihi, hawa wengine wahuni kama wahuni wengine
 
Kuliko kwenda CCM, Bora astaafu siasa.

Hiyo itakuwa ni sawa na mwogeleaji Mahiri kuvuka vikwazo vyote Baharini akaja kufika pwani!!
 
Back
Top Bottom