Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Najua rafiki ila naogopa utakuwa unaninyanyapaa na flat screen yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lile bifu limerudi tena?[emoji134][emoji134][emoji134]
Haha unaona sasa ulivyo mnyanyapaa? Mi nilijua unaenda kufika bei umeona chura ni ubatili mtupu..!Rafiki kama una flat siyo tu kwamba mimi sikutaki hata JF pia haikutaki uwe hapa!
Zaidi ya lile yaniKwani lile bifu limerudi tena?[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kuwa tu wifi yangu na hapohapo mke mwenza ni kosa la jinai[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mweeeh!! Kwani nimekosea nini tena[emoji134][emoji134][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
Babe, kwani huyo ndio nani kwani..!!??[emoji45] [emoji45]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wewe ni wifi yangu na ni mke mwenzangu na sikusumbui[emoji134]
@daby
Sijui babe nimepita mitaa ya pili huko nimeona wanamsifiaBabe, kwani huyo ndio nani kwani..!!??[emoji45] [emoji45]
Basi atakua ni muimbaji wa kwaya bilashaka...[emoji30][emoji30][emoji30]
Ee baby nahisi mwimbaji wa kwaya ile ya LuluBasi atakua ni muimbaji wa kwaya bilashaka...[emoji30][emoji30][emoji30]
@ushimen ndio nani?Na Ushimen pia[emoji134][emoji134]
Kweli masafa yako marefu.
@daby
Mmmh?
Kaka wa mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh?