Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Tuwe wakweli..and let's call a spade a spade as it is..
Naamini vitu bora alivyonavyo huyu bwana ni 'sense of humanity and humility' hana machejo ya ukuu..
Sie ni waswahili na haya ndo maisha yetu..kujuliana hali ati...
Uchochezi huo ndugu yanguu!! Akhaaa!!Nakubaliana na wewe kabisa, ndio maana kwa kutumia kodi za wananchi alikuwa anawalipa watu mishahara bila kufanya kazi. Hiyo ndio sense of humanity.
Nakubaliana na wewe kabisa, ndio maana kwa kutumia kodi za wananchi alikuwa anawalipa watu mishahara bila kufanya kazi. Hiyo ndio sense of humanity.
Huyo ni mama yake nini?very nice