Mr P amkana pacha wake

Miss Halima

Senior Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
132
Reaction score
329
Staa wa muziki aliyekuwa akiliunda kundi la P-Square, Mr P, ameibua mjadala mpya kuhusu ufanano wake na pacha wake, Rudeboy, baada ya kutoa kauli iliyowashangaza mashabiki.

Mr P amesema anaamini kuwa anafananana zaidi na msanii wa Marekani, Usher, kuliko anavyofanana na Rudeboy

Kauli hiyo imekuwa ya kushangaza kutokana na ukweli kwamba Mr P na Rudeboy wamekuwa wakitambulika kwa muda mrefu kutokana na ufanano wao mkubwa kama mapacha.

Your browser is not able to display this video.


 
Wanigeria ni watumwa wa hela, wako tayari kufanya lolote ili wapate pesa
 
Anatafuta sifa za kijinga
 
Ungetusaidia na sisi wa mkoa, hapo kwenye picha MR p ndo yupi na Rudeboy ni yupi
 
Hao nao wasituchoshe.....kama mama yao angejua kitakachotokea bora angezaa mmoja na sio mapacha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…