Mr. II aka Sugu vs Afande Selle, nani mkali?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Wakuu nani unamkubali?
 
mtu na pesa...
kijana akipokea madingi wanamwita bwana,,dingi akizipata anaonekana ni kijana.....

wapi ilipo taarabu...ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishahusudu..kwa ajili ya marumbano mwishoni ikafa kibudu..

.
 
Sijajua unataka tutumie vigezo gani kuwalinganisha ungekuwa umeweka vigezo kwanza ila unatakiwa tu uelewe Sugu ndio kamtoa Afande
 
Unafahamu kama Afande ni Mwanafunzi wa Sugu?

Kwenye wakongwe wa hiphop bongo Sugu ni wakupimana ubavu na Profesa Jay tu.

Mkuu kiuhalisia Sugu sio wa kupimwa ubavu na Prof.Jay,.'

Ila kuna kpnd mwaka 2001 clouds baada ya kuznguana na sugu wakawa wanamtumia Jay kama mrthi wake hapo ndo watu mkanza kumpma jay kweny levo za sugu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…