Mr.HUSSEIN BASHE

Awamu ya 5 CCM ndio imebadilika kuwa chinjachinja,mbona awamu zingine hazikuwa na umwagaji wa damu kiasi hiki au hichi kikosi cha awamu ya 5 walikuwa wanamiliki bucha kabla ya kujiunga na siasa?!
 
Dalali huyo wa wasomali wenzie kwenye kupata vibari vya kuingiza sukari nchini watu wa pwani tunasema afai hata kwa kulumagia...
Hiyo ni sababu ya msingi kuliko weledi wake?
 
Hiyo ni sababu ya msingi kuliko weledi wake?
Ndio maana yke. turudi kwenye kauli marehemu Bi kidude Bint Baraka mzoea udalali awezi kazi ya duka... kiongozi au uongozi ni kazi ya duka...
 
Hiki kichwa na ziadi ya vichwa 100 vya ccm huwa anafikiri kiuchumi zaidi na sii kisiasa nashangaa kati ya waitara na bashe kwanini iwe waitara?ndo maana mnataka kutumia geshi letu kubangulia koroshow tena wabandue kwa meno haha yaani hii ni matumizi mabaya ya vyombo vya uma kuwahi kutokea ila tatizo liko john unawaacha wwnye akili unamchukua waitara..tumfanyie mpango jinga lao na kokochanel
 
h
Sio mtanzania huyo msomali labda ww usie mjua mwenyewe anajinasibu kwa usomali wake mtanzania Rage maana ajinasibu nao usomali wake
Utanzania ni kabila flani flani au uarai hapo ndo mahali tumeachwa na mahali ambapo elimu imeahindwa kuwasaidia wabongo
 
hUtanzania ni kabila flani flani au uarai hapo ndo mahali tumeachwa na mahali ambapo elimu imeahindwa kuwasaidia wabongo
Utanzania ni uzalendo juu ya nchi yko lkn huyo Bashe ayupo hivyo yupo juu tumbo lake hlf kesho kutwa aende zake marekani wakt ss atuna pakwenda...
 
Ndio maana yke. turudi kwenye kauli marehemu Bi kidude Bint Baraka mzoea udalali awezi kazi ya duka... kiongozi au uongozi ni kazi ya duka...
Sasa mbona hata wale waliojidalalia kama sio kudalaliwa wanapewa 'pande'....kina white r, kitambi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…