Mr Freeman Aikael Mbowe as i know him so Far

Mr Freeman Aikael Mbowe as i know him so Far

mie ngumbaru umeniacha hoi.
Unatumia kingereza cha zaontosis, argila, xylem, osmosis, phosphorus?
 
Interesting analysis!
asante kwa maoni yako nimeangalia maoni ya watu wengi naona tunasumbiuliwa na akili karirifu sijui nani anayeweza kusema ametoa mchango hata mmoja katika ulimwengu wa taalima kila mmoja au wachache wakijifanya wao wanajjua kiingereza zaidi kuliko wenye lugha inaonekana akili zao zinafanana kwa ukubwa au udogo wake
 
Watz wenye elimu nyembamba hujisikia sana wakisema/kuandika kiingireza ili kutukoga tulio wengi. Hivi lengo lako ni maandiko yako yasomwe na kuchangiwa na wana Jf? Au? Acha hizo wewe! Unatunyanyasa wenzako.
elimu nene karirifu unajivunia nayo wapi wakati hunamchango wowote bunifu binafsi katika taaluma
 
Dah Mkuu, hii lugha ulioandika nimeshindwa kuendelea kusoma.

I am very sorry, utaniwia radhi kaka.
umeona makosa mengi ambayo ungerekebisha yakidhi kiwango chako unatakiwa ujue wazo halina lugha maandishi na maneno ndio yenye lugha
 
Back
Top Bottom