Mpya: Matokeo ya uchaguzi kata ya Mlangali Ludewa.

wakuu leo kule mlangali (ludewa)mawasiliano c shwari lakini cdm wamepeta na kuwagalagaza ccm kwa kura zaidi ya 288.nita wa juza zaidi,cdm oyeeeeeeeeeee

Ahsante sana kaka mkubwa,kwa kweli umefanya kazi kubwa na nzuri sana,tunayoimani kuwa kwa kupata kata hiyo ya mlangalai safari Ludewa inazidi kuwa njema zaidi.Well done wanaLudewa!
 
Back
Top Bottom