Ustadh GIRITA kweli leo tuliswali pamoja Msikiti wa Kwamsusa Mbagala Rangi Tatu(mimi mgeni) kwangu mimi ni mara ya kwanza ya kuona tukio kama lile ila biashara naziona tu za kofia, kanzu, tende' madawa hata Sharbeti ya KHASUS ila Ubwawa! tena naona kuwaharibia mamantilie biashara yao, ni batili kabisaWewe utakuwa ni mgeni wa kuswalia misikitini, hasa misikiti ya Dar,watu wanafanya biashara zao kama kawaida na hakuna shida,kufanya biashara ndani ya msikiti ndio vibaya....japo kuwa wale masheikh wauza madawa huwa wanazitangaza dawa zao pale mimbari kwa imamu halafu pesa wanaenda kupokelea nje...utakuwa umesalia msikiti wa kwa msusa mbagala rangi tatu kuna jamaa huwa anauza pilau la take away kwa buku anakupa na kijiko cha plastiki au nasema uongo ndugu yangu?Tuliza jazba sheikh hiyo ni kawaida jamaa huwa anauwa soko la mama lishe wanaouza pilau buku jero...mimi mwenyewe nilikuwa nikitoka msikiini napitia kabox kangu naenda kupoza njaa,tuvumiliane mkuu.
Marufuku! Makruh!
Kwahiyo ubwabwa ni nini? Na zile dawa za miti shamba zinazouzwa hapo?Tende ni tunda takatifu na tena imebarikiwa kulioko matunda yote' kuuzwa msikitini ruksa! Sio ubwabwa
Angalia wider picture, usiangalie outliersAMANA BANK, ya MYAHUDI?
Nikajua pilau ni zile picha zetu za kikubwa!!!![/QUOTE[emoji23]
HahahahaMnapenda sana kulakula, mtalishwa hadi mavi.......
Sitakuja kula pilau mbagala
Hapa a mm alivyosema PILAU nikawaza vingine kabisa nikazama fasta kujua hilo pilau lilikuwa kwa mfumo upi DVD au kwa FLASHDISKNaona mapovu yameanza,kuna waliotegemea uzi utahusu makanisa
Mbagala kuna kuna shida gani?,huu ushamba wa mji unawasumbua sana.Mnapenda sana kulakula, mtalishwa hadi mavi.......
Sitakuja kula pilau mbagala
Ubwabwa chakulaKwahiyo ubwabwa ni nini? Na zile dawa za miti shamba zinazouzwa hapo?
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Sasa kama ni chakula acha kiuzwe mtu akitoka kuswali anapitia takeaway yake hapo mambo mswano kabisaUbwabwa chakula
Dawa za mitishamba matibabu
Mimi nimemuuliza jamaa mmoja huko juu kuiponda Mbagala.Wewe Mbagala unaijua au unaisikia? Kwa taarifa yako, Mbagala usiifikiri ile ya alioiimba DIAMONDI (mbele jalala) sasa hivi kumekucha ile mbya!