kiwatengu una upendeleo mbona couple yangu na nitonye hujaitangaza.. Halafu hii couple haina long live ila hongera zao b'cause TheDealer alitaka mwanamke aliyezagaazagaa am happy amempata. Me mimisa and Heaven on earth tulikuwa hatujazagaazagaa
Hayawi hayawi na sasa yamekuwaaa...mwenyekiti wa jukwaa Baba V naomba uandikishe hii couple kwenye daftari lako....
TheDealer & Toria
Mi nawapongeza tu katika safari yenu mliyoianza hapa...na Mungu awe nanyi siku zote mfike mbali......
Bishanga ushukuriwe kwa ushauri wako wakumtaka kijana awe mpole na aache kuhangaika
Kipepeo hutua kwenye mti uliotulia... TheDealer mtunze Toria na muwe nafuraha siku zote.....
Mvumiliane kwa mema na mabaya...hapa ndani kuna wataalamu wakuharibu haswa wanapoona mnaenjoy...muwe wepesi kuwapotezea...
mimisa na Heaven on earth nyie mlidondokewa kidogo ila kwa hisani ya Lady doctor na my wife shansarie
mkamrudishia kijana moyo wake...mshukuriwe pia.....
Couples na msiyo couples mlioko humu ndani...Toeni Pongezi zenu kwa hii ambayo ni mpya..
Long Live.. Toria & TheDealer
cc; Arabela
sijapendelea hata kidogo wangu...we kumbuka tu mshikaji alivyohaha...
mwache atulie sasa na anabahati sana kapata mtoto aliyetulia kweli kweli..with love!!
nitonye aliniambia nisitangaze hiyo ya kwako alikuwa na mashaka sana na Baba V akiamini unamzimia na yeye anakuzimia...
Hata kwako nahisi huyu jamaa yako yuko mguu nje mguu ndani
Kweli TheDealer alihangaika sana na sasa katulia maana mtoto mzuriiii namuombea mema amtunze mtoto wa watu,tusijesikia kadondokea wengine tena maana jitihada za kumpata Toria sio mchezo. hope amepata fundisho
naomb nimuulize Toria mmepima maana jamaa sketi zilikuwa hazimpiti kabla ya kukutana nawe ,muonane na Lady doctor kwa vipimo zaiddi
hayo ya vipimo yanakujaje tena hapa? jamani..just congratulation..
wewe na Arabela angalianeni vizuri...
alikuwa kila amuonae moyo wadondoka
Yeah, nikweli maana jamaa alikuwa mtaalamu wa kubinjua skirt nivyema waje wacheki afya zao
alikuwa anabinjua sketi za kina nani? usiwasikilze hao wote walikuwa wanamgomea..sasa atawabinjua aje?
kuna tuliokuwa tunawaona uchochoroni hatukutaka tu kuwataja asije akakosa jiko
Mbona sisi wengine mnatutenga? Hadi Dole Gumba zimeota sugu kusaka Couples lakini duh..