Mpya: Android vpn for jf members (bure)

Mpya: Android vpn for jf members (bure)

Hellow greeting.

Nakubaliana na JF rules kuzuia uploading of pirated software.
Lakini kueka link za pirated software kama hii thread hapa "as you call it discussion but it's alson distribution", from my point of views ni kusupport pirated softwares.

Labda kama point yao JF ni kuto kuhold pirated softwares on their server.
Lakini kama ni hivyo mbona thread nyingi zinafanya hivyo, ikiwemo hii ya kwako hapa mkuu. https://www.jamiiforums.com/jf-stor...nload-manager-idm-6-17-full.html#post11545779 ?
whats your point mkuu?
 
whats your point mkuu?

Point yangu ni jambo lakushangaza sana kwa site kubwa kama hii kwenda kinyume kabisa na SOPA.

As we know it's illegal na imeoneshwa kabisa kwenye Rules za JF lakini still they disobey.

Nadhani unaelewa vizuri kabisa mkuu kwanini Kwenye JF rules waliweka kwamba they're anti-piracy.

->Mtizamo Tu.
 
Okey umesomeka mkuu
 
am pretty hard to impess but WOOW!!! U read all the rules !!!!, my take "jukwa la sheria" will workout pretty smooth for you

ni mtazamo tu
 
Jamani wengine sio wataalamu wa it,inafanyaje kazi na je kama huna bando unaweza kuendelea kuaccess internet???
 
Back
Top Bottom