Hao jamaa nadhani ni I'd moja! Wanapenda ku-like balaa. Hao jamaa wanadhani kazi kubwa ya mitandao ya kijamii ni Ku-Like hakuna kingine.
Kwamba jamaa ni mwabukusi?Mimi kuna mda nilikuwa namuulizia member mmoja huku anaitwa BAK kumbe bhana alishabadilisha ID baada ya kuwa president kwenye ile taasisi
KabisaaaKwamba jamaa ni mwabukusi?
Itakuwa Kaliwa na mamba wa Teeth...alikuwa kero kuwatukana walimuHuyu JAMAA MPWAYUNGU VILLAGE yuko wapi?Au alikumbana na misukosuko ya 29/10/2025.Nimekumbuka nondo zake zilizowahusu walimu
Kwamba Mwabu//ku/siMimi kuna mda nilikuwa namuulizia member mmoja huku anaitwa BAK kumbe bhana alishabadilisha ID baada ya kuwa president kwenye ile taasisi
Jangwa?Mimi kuna mda nilikuwa namuulizia member mmoja huku anaitwa BAK kumbe bhana alishabadilisha ID baada ya kuwa president kwenye ile taasisi