Lubeleje si huwa anawanunuliwa miwa au wewe mkuu huwa hupendi miwa? kwakweli wilaya ya mpwapwa bado mpo usingizini,mnahitaji kuchapwa viboko ndo mtaamka. Na mwaka huu Lubeleje huenda akarudi mjengoni
ccm inapendwa mahali kusikokuwa na maendeleo .Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo: ITV habari
Cha kusikitisha zaidi ndipo yalipo makao makuu ya CCM na kila siku wanajenga majengo mapya ya anasa ya chama, kununua magari makuu ya chama na kujenga kumbi mpya za bunge chini ya uamuzi wa mwenyekiti wa CCM, na kama haitoshi ndipo yalipo makao makuu ya nchi loh, inasikitisha sana.
Huo ndio ukweli