Mpwapwa watibiwa chini ya mti

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wananchi wa kijiji cha Lupeta wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru, jamani huu ni uhuru au dhuruma?

Chanzo: ITV habari
 
Halafu pembeni yao kuna libendera kuubwa la ccm!wakitoka hapo wanakwambia ccm imeleta maendeleo..kweli tunahitaji kupimwa akili
 
Halafu pembeni yao kuna libendera kuubwa la ccm!wakitoka hapo wanakwambia ccm imeleta maendeleo..kweli tunahitaji kupimwa akili

Hahahahahhaha....nimeona aisee,nikacheka sana...halafu kama umegundua nchi hii sehemu ambazo ni ccm wanatawala nakuwa na nguvu kubwa ni maskini sanaaaa,yaan sanaaa
 
Maisha bora kila Mtanzania kwani ndiyo nchi yenye Amani ukichagua CHADEMA kwa maendeleo unaambiwa utapoteza Amani
 
Nimeona hiyo habari nikawahurumia sana wananchi, alafu pembeni kuna bendera ya ccm.
 
Tanzania hii kuna watu wanashida sana lakini viongozi wetu tunao wategemea wanagawana mabilioni wanaenda kuficha ulaya wakati wananchi wake wanatibiwa chini ya mti
 
Hahahahahhaha....nimeona aisee,nikacheka sana...halafu kama umegundua nchi hii sehemu ambazo ni ccm wanatawala nakuwa na nguvu kubwa ni maskini sanaaaa,yaan sanaaa

Wanatumia njia ya mzoofishe atawalike kirahisi
 
Wananchi wa kijiji cha lupeta wilayani mpwapwa mkoani dodoma wanaendelea kutibiwa chini baada ya miaka 50 ya uhuru,jamani huu ni uhuru au dhuruma?
Chanzo ITV habari

Hapo Lupeta ndipo alipozaliwa aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mpwapwa Mh. George Malima Lubeleje. Na safari hii ametia nia tena kutaka ubunge. Kwa kweli hili kabila langu ni gumu sana kubadilika, pamoja na shida kubwa wanazozipata lakini ni wepesi kudanganyika hakuna.

Kabila langu litakuwa la mwisho kwenye huu ukombozi na sababu kubwa ni wengi hawajasoma na wanaamini mfumo wa maisha hauna uhusiano na utawala wa nchi.

Kabila langu kulielimisha ni kazi kweli kweli na nafikiri hii ndiyo njia pekee nzuri ya kuwaelimisha. Acha tu waendelee hivo hivyo hata miaka 100, maana wanaambiwa na ccm kuwa vyama vya upinzani vinataka kuleta vita na wanaamini.
 
aende kamanda akaokoe jahazi. kweli wenzetu wanapata shida!
 
Lubeleje si huwa anawanunuliwa miwa au wewe mkuu huwa hupendi miwa? kwakweli wilaya ya mpwapwa bado mpo usingizini,mnahitaji kuchapwa viboko ndo mtaamka. Na mwaka huu Lubeleje huenda akarudi mjengoni
 
Nmewaonea huruma af pale kat nikaona bendera ya chama pendwa. Na wasubirie kupewa vtishet vya b balance na vilemba na kofia za yanga wafanye makosa upya oktoba.
 
Me hata siwaonei huruma waacheni wakomae tu si wanaikumbatia ccm
 
Wacha waipate fresh, wao c watiifu kwa chama?
 
Halafu pembeni yao kuna libendera kuubwa la ccm!wakitoka hapo wanakwambia ccm imeleta maendeleo..kweli tunahitaji kupimwa akili

Teh teh teh teh teh!
 

Mkuu mnakazi kweli yaani inatia huruma sana kuona kina mama wanaungua na jua,siku ikinyesha mvua sijui itakuwaje maana mgonjwa lazima atibiwe
 
Kwa kweli maeneo ya vijijini ni shiiiiiida! Badilikeni,Nyerere alishakufa Nchi wanaongoza wasanii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…