Mpunga huo

Ooyoo haya mambo ya mahanjumati na muda wake unakaribia na huyo mgeni wa haya mambo ndo huyo nimuda mfupi tu atawasili na na kasema ugeni wake atakaa kwa siku 3 0 tuu hata punguza wala kuzidisha na inshallaha na sisi wazalindo tupo kwa mikona miwili bila kinyongo kumpokea allahu ibarik
 
Aaagh sasa mbona ngoma mfuto?,kijaze mkuu,harafu ndizi pale kati na maji bariiiidi...
 
alishababu wana.sherehe hapo
 
Naona wapiga kura wamejongea karamuni
 
Wamepunja nyama halafu kachumbari hamna, raha ya pilau kachumbari na nyama bana
 
Inaweza kuwa hilo pilau liko huko Muleba kwani huyo mama anasifika kwa kuhonga pilau!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…