Paul Kijoka JF-Expert Member Oct 25, 2010 1,399 255 Aug 3, 2012 #1 Nawasabahi ndugu wana jamvi na kuwapongeza mlipofikia. Naomba mniunge mkono kwakunipokea nami niwe mmoja wenu. Mbarikiwe sana.
Nawasabahi ndugu wana jamvi na kuwapongeza mlipofikia. Naomba mniunge mkono kwakunipokea nami niwe mmoja wenu. Mbarikiwe sana.
Ritz JF-Expert Member Jan 1, 2011 47,186 32,663 Aug 3, 2012 #2 Wewe mkongwe humu JF anyway karibu sana..
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Aug 3, 2012 #6 Paul Kijoka said: Nawasabahi ndugu wana jamvi na kuwapongeza mlipofikia. Naomba mniunge mkono kwakunipokea nami niwe mmoja wenu. Mbarikiwe sana. Click to expand... Wewe mbona ni wa muda mrefu? Ulipotelea wapi?
Paul Kijoka said: Nawasabahi ndugu wana jamvi na kuwapongeza mlipofikia. Naomba mniunge mkono kwakunipokea nami niwe mmoja wenu. Mbarikiwe sana. Click to expand... Wewe mbona ni wa muda mrefu? Ulipotelea wapi?
Paul Kijoka JF-Expert Member Oct 25, 2010 1,399 255 Aug 3, 2012 Thread starter #7 Nilitaka kujua kama mko makini. naona wengine nimewakamata.