Mpoleeeeeeeeee yuko likizo?

usikute ndo huyu kajianzishia topic hana thamana yule
Inawezekana aisee ila tutajua tu mbona sio ishu si maisha yanaendelea tu tena kwa shangwe kibao ndani ya majiji.com
 
si umPM..au sweetlady is right after all...unataka ujue wangapi wanakumiss..???

wasiwasi wangu sijui kama aliko anapata access ya internet... naweza pm halafu asiione... kama una namba zake za simu ni pm
 
unaaibisha mangoshap
au wewe ni ngosha chapa jogoo
ngosha chapa ya ng'ombe huwa hafanyi hivi.

Angalau basi kashangae mabugando

ilumbu lyane, yeniyi ya henaha duhu... nulu uliganika ng'winga? yaya... genaya mahoya duhu... onelelwa?
 
alikuwa amekufa, kumbe yu mzima alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…