Mpishi Wa bites Anahitajika

Mpishi Wa bites Anahitajika

Big Dy

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2015
Posts
491
Reaction score
599
Hello ladies and gents
Natafuta mpishi wa bites kama sambusa,vitumbua,andazi na chapati na vinginenvyo. Kazi ipo dar es salam,kama kuna mtu yupo tayari ama kunna mtu unamfaham tuwasiliane. +255736 782778 au whatsapp +44 7771896993
 
hz

o no vipi mbna hazipatikan
 
guys remember natafuta mpishi na sio mtu wa kununua kwake
 
Good but Niko mbali sana Arusha to DSM na kwa bahat mbaya sina ata ndugu ukijanitelekeza ubongo nitakuwa mgeni wa nani!!!!?
 
unaweza kufikia kwangu pia.....kama upo serious na kazi unaiweza....lakini tutaelewana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom