Nyie mnaosema mshahara ni mdg unaweza ukawa sahihi au laa lakn huna uhakika, unajuaje km jamaa ndio anaanza hio biashara hana uhakika na muelekeo wa soko? Unataka aahidi mshahara ambao hana uhakika nao au utamtesa kuulipa au ifke kat kat aseme tupunguze mshahara? Kumbuka 120000/= ni sawa na elf 4 kwa siku, chukulia minimum kodi ni lak 2 na nusu kwa mwez(wote tunajua kodi ya sehem ya mgahawa) tayar n elf 13 kwa siku haijalish umeuza hujauza, bd umeme, tra, hujui wafanyakaz wapo wangap na mambo kede kede, hvyo vyote lazma ulipe haijalish mauzo yameendaje, pia kumbuka huo n mgahawa piga ua mfanyakaz atakula hapo hapo bure minimum atakula 4000 kwa siku, tayar hapo mtu huyo anatembea na 240k kwa mwez, unakuta kwa mwezi jumla minimum inamtoka 600k faida ni 300k, hapo bd unamlaumu mtu?
mbaya ni ile unaona kbsa jamaa anaingza pesa ndefu halaf anamnyonya mfanyakaz kwa kumlipa kiduchu, huo mshahara n kweli n mdg hakuna ubish lakn n mdg kulinganisha na mapato kias gani? kuna watu dar uhakika wa kula hana, hv awe na huo ujuz umpe chakula bure na 120k atakataa? (sina maana mwenye hali mbaya ndio alipwe kdg)
biashara za leo kuishia kulipa mshahara, kodi na matumizi mwisho wa mwezi una faida ya elf 50 sio ajab, kikubwa ni kusaidiana, pata msaada bila unyonyaji, nachukia unyonyaji na namchukia sana mnyonyaji ila ukweli nao tuuseme wazee
BTW n mtazamo tu msije mkanichukia.