MPIRA vs NDONDI wapi na wapi?

Huyu refa anaitwa Mujuni Israel ni mwalimu alifundisha sana pale Tambaza High School walichokifanya hawa wachezaji wa Yanga kimemvunjia heshima huyu mtu lakini heshima yao imeshuka maradufu.

Heshima kajivunjia mwenyewe ataharibuje mchezo kisa hela za "Azam Cola",nakwambia na atakuwa amejifunza mana'ke yale ma'gumi siyo mchezo
 
Paolo Di Canio style

article-1388957-0012022000000258-420_306x423.jpg
 
Ile ni fundisho,wanapochukua hela kutoka kwa Matajiri wanaomiliki team ili kupindisha sheria 17 za soka waangalie namna ya ku'balance otherwise watakuja kupasuliwa mafuvu siku 1,ban ya mwaka m'1 sijui miezi 6 kitu gani,alifungiwa Nabii wa Lubumbashi Tresor Mputu itakuwa Mwasyika, pole zake sana, cha moto alikiona
Wewe huwezi kujua hiyo ban ya mwaka mmoja au miezi sita ni kitu gani kwa sababu hujapewa wewe, ingekuwa hiyo ban umekula wewe hata usingeuliza ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom