Mpina vs CHADEMA nani zaidi?

Mpina vs CHADEMA nani zaidi?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,373
Reaction score
40,178
Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya kuagiza Helikopta.

Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye ndani ya CCM kuliko wanaojiita wapinzani huko CHADEMA. Kwa siku za hivi karibuni Mpina amesikika zaidi kwa hoja zake dhidi ya serikali hivyo kujikuta anatokea sana kwenye vyombo vya habari. Kisiasa ni muhimu sana kupata publicity kwa namna yoyote ile. Mwanasiasa unatakiwa uongelewe kila siku.

Pamoja na kwamba CHADEMA kina wabunge 20 ndani ya bunge la Tanzania ambapo mmoja ni wa kuchaguliwa na 19 ni wa viti maalum lakini bado CHADEMA kama imepooza pamoja na kuwa wa wabunge 20 huko Dodoma. Ni wakati sasa kina Mdee, Bulaya, Hawa Bananga, Nusrat Hanje na wenzao kuibua hoja zitakazokifufua chama chao CHADEMA kwenye siasa za bunge.
 
Tafadhari sana, katiba yetu itenganishe mbali kabisa ubunge na uwaziri

Mtu ukiwa mbunge na wakati huohuo waziri, kina Mpina wanakuwa hawana maana tena!

Tena ikiwezekana kwa mawazo yangu, inafaa sana hasa huku Africa, Raisi pia Asitokane na chama,

Ukitaka kujua wazo langu linamaana, angalia Raisi wa ccm na wabunge wake, hawawezi kabisa kumkosoa Rais wao ndani ya chama chao hata kama anawapoteza mmoja mmoja, wao wataendelea kusema anaupiga mwingi wakati anawawapangua pangua tu bila sababu yoyote!

Rais asipotokana na chama chochote, wabunge wote bila kujali chama, watakuwa huru kuzungumzia mambo ya nchi yao

Mawaziri wasipotokana na chama, wataleta majibu ya ukweli kwenye bunge na siyo bulabulaa kama ilivyo sasa!
 
Naunga mkono hoja 100%..... Wabunge wanawaza uwaziri tu so anajua akikosoa hatoteuliwa.

Mbaya zaidi Rais ndio mwenyekiti wa kamati kuu inayopitisha wagombea ubunge.

So ukimkosoa tu huwezi pitishwa kugombea huo ubunge.

Inaua uwajibikaji
 
Hii itasaidia sana wabunge kuwa huru, na Rais kufanya kazi yake na siyo kuziba midomo ya wabunge wanaodhubutu kuhoji mambo mhimu ya nchi
 
Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya kuagiza Helikopta.

Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye ndani ya CCM kuliko wanaojiita wapinzani huko CHADEMA. Kwa siku za hivi karibuni Mpina amesikika zaidi kwa hoja zake dhidi ya serikali hivyo kujikuta anatokea sana kwenye vyombo vya habari. Kisiasa ni muhimu sana kupata publicity kwa namna yoyote ile. Mwanasiasa unatakiwa uongelewe kila siku.

Pamoja na kwamba CHADEMA kina wabunge 20 ndani ya bunge la Tanzania ambapo mmoja ni wa kuchaguliwa na 19 ni wa viti maalum lakini bado CHADEMA kama imepooza pamoja na kuwa wa wabunge 20 huko Dodoma. Ni wakati sasa kina Mdee, Bulaya, Hawa Bananga, Nusrat Hanje na wenzao kuibua hoja zitakazokifufua chama chao CHADEMA kwenye siasa za bunge.
Mpina huyu huyu aliyepima samaki kwenye mchuzi ?

FB_IMG_1648499814063.jpg

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Chadema wana laana ya Magufuli alafu Mpina ana baraka za Magufuli, hiyo ndiyo tofauti.
Baraka za magufuli ni pamoja na kujitwalia hekari 300 za ardhi huko Morogoro pamoja na kupima samaki waliochemshwa na kukaangwa kwa rula? Hahahahaha
Ujinga mzigo
 
Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye ndani ya CCM kuliko wanaojiita wapinzani huko CHADEMA. Kwa siku za hivi karibuni Mpina amesikika zaidi kwa hoja zake dhidi ya serikali hivyo kujikuta anatokea sana kwenye vyombo vya habari. Kisiasa ni muhimu sana kupata publicity kwa namna yoyote ile. Mwanasiasa unatakiwa uongelewe kila siku.
Screenshot_20230519_213514_Samsung Internet.jpg
 
Natumaini mko poa. Binafsi nashindwa kuelewa nini kimewapata CHADEMA kiasi kwamba kwenye vyombo vya habari hawasikiki kabisa kwenye mambo nyeti ya kitaifa. Angalau wiki hii wamekuja na ishu ya kuagiza Helikopta.

Kiujumla kuna uwezekano mkubwa Mh. Mpina akawa anavuma sana kama mpinzani aliye ndani ya CCM kuliko wanaojiita wapinzani huko CHADEMA. Kwa siku za hivi karibuni Mpina amesikika zaidi kwa hoja zake dhidi ya serikali hivyo kujikuta anatokea sana kwenye vyombo vya habari. Kisiasa ni muhimu sana kupata publicity kwa namna yoyote ile. Mwanasiasa unatakiwa uongelewe kila siku.

Pamoja na kwamba CHADEMA kina wabunge 20 ndani ya bunge la Tanzania ambapo mmoja ni wa kuchaguliwa na 19 ni wa viti maalum lakini bado CHADEMA kama imepooza pamoja na kuwa wa wabunge 20 huko Dodoma. Ni wakati sasa kina Mdee, Bulaya, Hawa Bananga, Nusrat Hanje na wenzao kuibua hoja zitakazokifufua chama chao CHADEMA kwenye siasa za bunge.

Kuna mtu bado anasikiliza hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura? Huenda ww ni mzee, au mtu uliyepoteza ramani, maana hao ndio wanafuatilia hilo bunge futuhi. Kwa kukusaidia tu, CDM haina wabunge wa viti maalum, na huyo mmoja aliyepo tumempotezea baada ya kuona hakushirikiana na chama wakati dhalimu ananajisi uchaguzi. Na yeye kwasababu anajua hana baraka za chama, amegeuka bubu akijikomba kwenye hilo bunge kibogoyo.
 
Nyie ni makatili kwasababu ya kumtelekeza hadi huyo mbunge wa kuchaguliwa na wananchi. Msipojirekebisha mtapigwa chini na hao wananchi waliomchagua mbunge wao. Kwenye Covid19 angalau mna hoja ila kwa huyo mbunge wa kuchaguliwa ni kama mmeamua kujivua nguo hadharani na kuonyesha udhalimu wenu kama chama.
 
Hakuna mwenye tatizo na ubunge wake, ila sifa ya mwanachama yoyote ni kusimama na chama pindi kinapohujumiwa. Huko atagombea mwingine mwenye kujali wananchi, na kukilinda chama kilichompa ridhaa. Uzuri wananchi wana uelewa wa kutosha kwenye hili jambo.
 
Mpina ni kati ya watu waliodumaza uchumi wa wavuvi na wafugaji, sasa amepagawa baada ya mambo yake kuanzaa kuwa magumu. Ngoja alipe yale aliyofanyia wavuvi kanda ya ziwa. Na ubunge wenyewe hii ndio round ya mwisho.
 
Hakuna mwenye tatizo na ubunge wake, ila sifa ya mwanachama yoyote ni kusimama na chama pindi kinapohujumiwa. Huko atagombea mwingine mwenye kujali wananchi, na kukilinda chama kilichompa ridhaa. Uzuri wananchi wana uelewa wa kutosha kwenye hili jambo.
Mnamwonea wivu. Tatizo vigogo wa chama mlizidiwa ujanja wa kuwaweka mahawara na ndugu zenu ndo maana inawauma sana. Yule mbunge ni shujaa wangu. Hakuna haja ya kuachia 12m kwa mwezi kwa hoja za kisenge toka kwa viongozi wapumbavu.
 
Kwenye hii hoja yako yote hilo neno kisenge pekee ndio nimelielewa. Sasa nakushauri, acha hasira rudia kuandika upya, na hilo neno usiliweke tena ili hoja yako niielewe.
 
Back
Top Bottom